Prof. Kabudi abananishwa kuhusu kufutwa kwa Jina Magufuli City pale Dodoma


Logical non sequitur fallacy.

Mimi sijagombea urais. Impact yangu kwa jamii inayonizunguka wanaijua wao, nikikwambia nasomesha watu wangapi mpaka Kazakhstan huwezi kuelewa.

Mimi si mtu ninayejadiliwa hapa, usigeuze mjadala kutoka Magufuli, mtu aliyegombea urais akaupata, kwenda kwangu, mtu ambaye sitaki hata kuwa katibu tarafa Tanzania.

Ukigeuza mjadala hivyo, utajionesha wewe ni mjinga. Hujui kuchambua mambo unafanya logical non sequitur fallacy.

Hujui kanuni za kulinganisha vitu vinavyolingana. Compare like to like.

Weka miradi hiyo mitano na bajeti zake tuijadili mwanzo mpaka mwisho.

Halafu pia, tumjadili Magufuli kama rais kwa mapana zaidi ya miradi tu, rais hapimwi kwa miradi tu.

Ukimpima rais kwa miradi tu unajionesha wewe ni masikini, limbukeni, mshamba, una poverty anxiety una reduce uongozi wa nchi kwenye miradi tu, hata uwezo wa kufikiria mambo ya msingi nje ya miradi huna.

Halafu avha ujinga w akuona kika anayemkisoa Magufuki ni anayemsifia Samia.

That is a falae dichotomy logical fallacy.

Ninayemsifia anayeenda mwaka wa saba ni nani huyo? Weka haoa nilipomsifia tuone unajua unachoandika.

Wewe ni kama nyumbu unayewayawaya tu.
 
Ebu tuanze kwako

Wewe unatumia nini ku-judge ubora wa uongozi wa raisi fulani

Mimi binafsi natumia maendeleo katika kila nyanja kama key ya kutambua ubora wa urais.... ambapo Magufuli ameshinda pakubwa uki compare na propaganda za wajivuni
 
Ebu tuanze kwako

Wewe unatumia nini ku-judge ubora wa uongozi wa raisi fulani

Mimi binafsi natumia maendeleo katika kila nyanja kama key ya kutambua ubora wa urais.... ambapo Magufuli ameshinda pakubwa uki compare na propaganda za wajivuni
Maendeleo ni nini?

Rais akiwanyima uhuru hata wa kujadili mambo, hapo hata kama unadanganywa kuna maendeleo, utajuaje kuna maendeleo kweli au unadanganywa tu?

Tatizo moja la imasikini na ujinga ni kufikiri maendeleo ni miradi tu, barabara, umeme, etc.

Bila kujaki elimu ya watu, demokrasia, uhuru.

Ukiona maendeleo kwa mtazano finyu hivyo, utapigwa kwa habari ya "Bread and Circuses" kama alivyosema mshairi wa Kirumi Juvenal.
 
M

MTU mnafiki ni hatari kuliko kitu chochote , huyu kumer ndio alimwita Magufuli Mungu , alimwita mheshimiwa Mungu na kumpamba kwa kila kauli Leo hii mungu mtu ******** amekuwa discarded Kama rubbish na kutukuzwa kama Mungu MTU kule kote na hawa parasites and sycophants kama Kabudi ,Makonda nk ndio hawa hawa machoko wanamtukuza huyu kahaba samia Kama Mungu .Ukiwa na akili unajifunza na kuona aina ya watu wa nchi hii .Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya unafiki na ubinafsi .Unafiki ,ubinafsi na uoga unalitafuna taifa
 
Kilochobaki na sasa hivi kila mtu anapambania tumbo lake, hakuna za uzalendo.... viongozi wamekuwa wanafiki hili wabaki madarakani na kuendelea kushika nafasi za juu. Hata huyu mama wanamnafikia
 
Kwa kua haisaidii chochote ila pia nahuakika haupunguzi chochote kama hatuwez kulifanya kwa mapenzi na nia njema basi tusilifanye kwa chuki na kwa kushindana.
 
Huyu mzee toka alivyoenda na Ndege Madagascar kufata Juice wakidanganyana ni dawa ya Corona na alipofika JK Nyerere aliita waandishi wa habari na kunywa nikamtoa maana kabisa..
 
Kheri character ya Magufuri ilikua focused na kile alichokua akikiamini bila khofu yoyote tokea akiwa mbunge mpaka waziri Ila hawa ambao walipaswa kua kama yeye wameshidwa kabisa zaidi wamekua wategemea mdomo kuishi.
 
Mwanetu kashasahau mheshimiwa Mungu ndio kamtoa jalalani
 
Wewe umejawa na chuki... kwani majina yameanza kuitwa leo.... mpaka vyuo vikuu vinapewa majina ya watu

Ni kama hamasa kwa vizazi
Mkuu mimi sina chuki yoyote. Japo niseme umejibu vyema kuhusu hamasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…