Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni


Yeye ni sehemu muhimu ya udhalimu unaoendeshwa na jiwe hapa nchni. Isitoshe yeye ni mfano halisi wa viongozi wanafiki ndani ya awamu hii. Hao wakenya wanatujua ndani nje na wanajua sisi watanzania ni wanafiki, makondoo na ni maiti hai. Simply Kabudi kwao ilikuwa ni kinyaa.
 


Kwa nini walimwalika kama wanamwona hivyo? Nijuavyo ndo foreigner pekee aliyepewa nafasi ya kuongea, labda kuna wengine sijui lakini, isitoshe aliongea na kutoa maoni yake kama yeye, wewe ulitaka aseme nini labda mazingira kama yale? Ulitaka aongelee Siasa zenu?
 
Sababu ni msomi na ni mwanaserikali ya Rais Magufuli.
 
Uzalendo unaanza na mimi. Kuwapenda wa kwetu. Kama wamekosea tunaelekezana kwa upendo ili siku nyingine wasikosee. Sikio la kufa halisikii dawa
 
Lakini wao Wakenya walipenda alivyoongea, hata ukisoma comments za Wakenya social media wamefurahishwa, sasa shida iko wapi kwako?
Kwanza Prof Kabudi alikaa meza kuu pamoja na Rais Uhuru, DP Ruto, Waziri mkuu mstaafu Raila na Prof Hajji Mwenyekiti wa BBI

Pili, Prof Kabudi alishangiliwa na waalikwa wote kila alipoonge

Na tatu au muhimu zaidi Prof Kabudi amewalisha kiapo cha kuukataa ukabila na siasa za madaraka Wakenya wote waliokuwepo mkutanoni!
 

Walimpa mnafiki nafasi ya kuongea.
 
Ngoja tumpeleke tanisemi ama mambo ya ndani
 
Usitufanye wote manyumbu kama mlivyo chadema!
Kabudi katoa speach nzuri sana ambayo kila mtu aliyekuwepo ukumbini kashangilia, hata BBC jioni hii wamemtaja kwa hotuba yake nzuri.

Mkapa alikuwa sahihi sana alivyo waita malofa
Watanzania hawajajitoa ufahamu kama wewe na wenzio wanafiki.

Kenya hakuna utekaji kisiasa kama Tanzania.

Kenya hakuna ubaguzi wa kisiasa kama Tanzania.

Kenya hakuma mauaji ya kisiasa kama.Tanzania

Kenya kuna uhuru wa vyombo vya habati na uhuru wa wananchi kujieleza sio kama Tanzania police mmewaajiri kudhibiti midomo.ya wananchi.


Prof angeomba tuu msamaha kwa kukaribishwa kwenye tukio ambalo yeye na nchi yake bado wana safari ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…