Simwelewagi kabudi lakini speech yake ilikuwa nzuri kwa kiasi fulani..tuache kuwa negative sana
Kuhusu demokrasia nadhani hakupaswa kuingia huko maana hata sisi TZ tuna hali mbaya..ila kuhusu Tribalism kaongea vizuri tu
Wewe kweli tabu tupu!Huyo si mwana ccm kama wewe.. soma hapo chini kama kizingu kinapandaView attachment 1274658
Ukabila una athari kwenye demokrasia in one way or another..Kabudi kuwachallenge Wakenya mimi naona ni sawaBBI haikua juu ya ukabila bali juu ya demokrasia yenye inclusion ya kila.mtu
Huyo si mwana ccm kama wewe.. soma hapo chini kama kizingu kinapandaView attachment 1274658
Wewe kila kitu unataka video? Kwa hiyo uelewa wa kawaida tu bila video huna. Duuuh bado tuna safari ndefu sanaTuwekee video yake akiongea hayo ndio tutakuamini. Otherwise, ni blahblah tu
Zunguka Duniani kote kuna hawa viumbe KABUDI, MWAKYEMBE, LIPUMBA na POLEPOLE, ni wanabadilika Kinyonga arudi VETA.
Wana mahaba na kenya sna hawa jamaayani leo Tanzania nzima ilikuwa inatazama televisheni za Kenya??Duuuuh
Unaongea na wakenya au unaongea na simu?Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Jamani kwani kuwa CCM ni dhambi yaani wewe unataka kila mtu awe CDM akizungumza ndo utafurani? Ama kwrli mtu akipenda chongo huita kengeza.Nani kafurahishwa.. kama sio wana ccm kama.weww
Sema hujui kidhungu.... soma hii hapa.View attachment 1274652
Nadhani kwa sababu fani yake ni kama ya tundu lisu ,hivyo wanajaribu kumlinganisha kwa kila jambo analofanya, cha pili anaweza pia kuwa attacked kutokea ndani kuliko hata wapinzani na vigumu kusema nyuma ya keyboard yupo nani tatu kwa sasa ukiwa na uwezo unaweza ajiri vijana kadhaa na wakawekeza ku atack kutumia social network vijana 20 kila mmoja akiwa na majina bandia kumi hao tayari ni watu mia mbili kwenye mtandao thread kumi kwenye jamiiforums kukuhusu ni nyingi sana kukuharibia jambo loloteHivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
anaongea na nyinyi wahuni mnaomchukia kabudi kwa nondo zake anavyowakera na li chadema lenu!Unaongea na wakenya au unaongea na simu?
Tatizo lipo kwako..hata kipofu hajui kama kuna watu wanaona.