Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Ngoja eliakeem na Geza Ulole wakuskie, ole wako, watakutupia matusi ya ki aeiou na abcd. Kama, ngamia wewe! [emoji23]"Kenya is endowed with dynamic people, innovators, people filled with talents and entrepreneurs."
Hayo hapo maneno ya waziri wao...
ANd he stole the showMbona English aliyotumia ipo simple! Labda Kiswahili neno kaumu badala ya hadhira! Kongole badala ya hongera!
Kwa hali ilivyo sasa Tanzania, siwezi kamwe kuishutumu Kenya kwa mtindo wao huo wa ukabila, ambao ni mbaya, lakini mtindo wetu wa sasa ni mbaya mara dufu.Nchi inayojinasibu ya kidemokrasia kama Kenya inaingia kwenye chaguzi na mandate ya viongozi wa kikabila kuungana ili kushawishi kura; badala ya utaratibu wa kunadi sera za chama na mgombea sahihi anaekubalika na wote.
Hawa kweli ndio wa kuifananisha na Tanzania
Na wewe umeiamini ile email ya "mwanasheria" isiyokuwa na subject wala letterhead?
Ndiyo vita ya kiuchumi hiyo, unafikiri kwa nini mkulima hakufanya hivyo kipindi cha Kikwete?
Anamshauri Rais vipi kwani ye si Waziri na washaur wa Rais wanafanya kazi gani?Kati ya watu ambao na amini wanamshauri rais kwa makosa ni huyu Kabudi. ...
Uzur ni kwamba ameshashtukiwa. .. muongo muongo alaf mjivuni sana
Kumaliza ukabila sidhani kama katiba itaweza kuwa muarobani, nadhani attitude tu ya watu, hasa wanasiasa kuacha kutumia kabila lao kama kigezo cha kuungwa mkono, hili ni ngumu sana kuondoka, hata Tz ambayo tulisifika sana hakuna ukabila, naona limeanza kujitokeza sana sasa hivibinafsi najiuliza ivi ni kweli BBI ndio muharubaini wa UKABILA ktk nchi ya Kenya ? au BBI itapunguza gharama za serikali ? issue ya IEBC ....kwa issue ya ukabila naipa asilimia ndogo sanaaa sababu bado haita adress mzizi wa ukabila ndani ya kenya ... political admistation ndio watafanikiwa zaidi sababu naona hapa wanakwenda kutengeneza mihimili 3 ya dola ss iliyokamilika.. ktk uchaguzi wa KIBRA tuliona issue ya HAND SHAKE ilivyoleta mtazamo tofauti baina ya wabunge ndani ya Jubilee
Anamshaur rais vp kwani ye si waziri na washaur wa rais wanafanya kazi gan
Kabudi is one of the hopeless Minister. Yeye ndiye mwenye jukumu la kuionesha taswira ya nchi yetu nje ya Taifa letu. Vitu anavyoongea nje ya nchi ni unafiki wa hali ya juu na upuuzi mtupu.Hivi ni kwa nini mnamchukia sana P.Kabudi? Kwanza Wizara yake haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na Upinzani sasa hii chuki kwake inatokea wapi? I mean, mnamchukia Kabudi klk hata Waziri wa mambo ya ndani anayekataza mikutano yenu, kwa nini? Kawakosea nini? Au ni Wivu tuu?
Kwa mtu mwenye busara hata kidogo sana, alistahili kuwapongeza Wakenya hatua waliyofikia na wanakoenda. Zaidi angeweza kusema Tanzania inajifunza mengi toka demokrasia ya Kenya, na kutamka kuwa kuna ya kujifunza.Kwa nini walimwalika kama wanamwona hivyo? Nijuavyo ndo foreigner pekee aliyepewa nafasi ya kuongea, labda kuna wengine sijui lakini, isitoshe aliongea na kutoa maoni yake kama yeye, wewe ulitaka aseme nini labda mazingira kama yale? Ulitaka aongelee Siasa zenu?