Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
 
61QzxEk2iVL.jpg
 
mimi nimesoma hivyo hivyo, tangu kidato cha kwanza hadi cha nne...bible knowledge lazima kusoma kwa kila mtu alafu kila baada ya miezi sita tulikuwa tunagawiwa biblia mpya..ya kiswahili na kiingereza kila mtu. Full upendo yaani
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Elimu ya dini ipo, na kimsing, hata usipoenda kanisani au msikitini, biblia ina sehemu mbili, mpende Mungu, na mpende jirani yako, the same hata Quran, ukifanya hayo hata kanisani usiende. Amri tano za kwanza zinahusu uhusiano wako na Mungu, tano za pili ni uhusiano wako na mwanadamu mwenzako, fanya hayo, jela utaisikia tu, na mbingu utaiona
 
Amri 3 za Mwanzo ndio uhusiano wako na Mungu 😄

Amri ya 4 imebeba Ahadi

Amri 6 Uhusiano wako na Jirani
 
Halafu baadae wanakuja kuambiwa yesu anatizama roho sio matendo!!
Yan ww lengo judhibiti matendo ila wanakutana na mchungaj anawaeleza mengine kabisa.🚶🚶
 
Maadili yote yanavunjwa na viongozi sasa hayo maadili watakariri
Wao waliosoma missionary mbona wanapiga hela kama hakuna serikali?
Maadili yanaanza nyumbani

Mpaka manabii uchwara wanajitokeza kila leo maana imekuwa kitega uchumi
Haya halafu kutakuwa na mtihani pia wa kikristo ama na wataofaulu mtawapa Ubunge?
Je watakuwa waadilifu
Kama mashoga mmechelewa kama machangu ndio kabisa wakubwa wenyewe wanakula
Huyu mzee angeachwa tu
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Elimu ya biblia sio muhimu, muhimu ni elimu ya philosophy. Huku ulaya vijana wa sekondari wanachagua dini au philosophy. Wengi wao anachagua philosophy unakuta kijana mdogo unaweza kumpa majukumu kama manager na aka- meet projections. Aisee kuna dogo nimekutana nao wamezaliwa 2006 ni mameneja wa vitengo BMW, AUDI na OTTO aisee. Vijana wa nje ya ujerumani hawajiamini na hawasimamii misimamo yao na hawawezi kufanya maamuzi magumu. Mimi niliwatetea lakini mwisho wa siku nikaweka mikono juu. Mpaka ninatamani mwanangu aje aaanzie maisha huku.
 
Back
Top Bottom