johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja waje wazee wa Dua ya Ngamia Kwa ufafanuzi zaidiNa Quran vipi ?๐
Biblia ni Kwa watu woteni muhimu mno elimu hiyo ikatolewa huko huko makanisani kwa wenye imani hiyo pamoja na biblia bure, nadhani itapendeza zaidi na kuepusha usumbufu kwa wasio husika ๐
Elimu ya dini ipo, na kimsing, hata usipoenda kanisani au msikitini, biblia ina sehemu mbili, mpende Mungu, na mpende jirani yako, the same hata Quran, ukifanya hayo hata kanisani usiende. Amri tano za kwanza zinahusu uhusiano wako na Mungu, tano za pili ni uhusiano wako na mwanadamu mwenzako, fanya hayo, jela utaisikia tu, na mbingu utaionaWaziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume ๐น
kama ilivyo kitimoto right?๐Biblia ni Kwa watu wote
Amri 3 za Mwanzo ndio uhusiano wako na Mungu ๐Elimu ya dini ipo, na kimsing, hata usipoenda kanisani au msikitini, biblia ina sehemu mbili, mpende Mungu, na mpende jirani yako, the same hata Quran, ukifanya hayo hata kanisani usiende. Amri tano za kwanza zinahusu uhusiano wako na Mungu, tano za pili ni uhusiano wako na mwanadamu mwenzako, fanya hayo, jela utaisikia tu, na mbingu utaiona
Elimu ya biblia sio muhimu, muhimu ni elimu ya philosophy. Huku ulaya vijana wa sekondari wanachagua dini au philosophy. Wengi wao anachagua philosophy unakuta kijana mdogo unaweza kumpa majukumu kama manager na aka- meet projections. Aisee kuna dogo nimekutana nao wamezaliwa 2006 ni mameneja wa vitengo BMW, AUDI na OTTO aisee. Vijana wa nje ya ujerumani hawajiamini na hawasimamii misimamo yao na hawawezi kufanya maamuzi magumu. Mimi niliwatetea lakini mwisho wa siku nikaweka mikono juu. Mpaka ninatamani mwanangu aje aaanzie maisha huku.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume ๐น