Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

mimi nimesoma hivyo hivyo, tangu kidato cha kwanza hadi cha nne...bible knowledge lazima kusoma kwa kila mtu alafu kila baada ya miezi sita tulikuwa tunagawiwa biblia mpya..ya kiswahili na kiingereza kila mtu. Full upendo yaani
bible knowledge hakya mungu nlilipenda somo hilo,mwalimu gimbagu why ulihama shule mapema ungali bado tulikuhtaji?
 
Was geht ab.

Wohnen sie in Deutschland?
 
Unaona maajabu ya viongozi wa Tanzania, huyu ni Profesa anakuja na hoja hizi za hajabu. Sasa biblia ina maadili gani mema? Maadili mema watoto wanafundishwa nyumbani kwao na makabila yao kwani kila kabila lina maadili yake.
 
Ukitaka kucheka mpeleke Profesa kutoka Tanzania huko na umpe majukumu ya usimamizi kama hujamkuta analia kajifungia chumbani, kisa hajuwi afanye nini. Hii elimu ya kukariri kwa kweli imeharibu sana watanzania, unakuta mtu anakariri mpaka maisha yake.
 
Majibu mepesi kwa complex problem kama kawaida ya wasomi wa kibongo! So biblia ndo zitajenga maadili? Kwanza maadili ni kitu gani kadefine?
 
Sijawahi kuona chawa na jinga kama hili profedheha. Kesho atakuja mwingine naye adai Quran zigawiwe mashuleni na vichekechea vichakachuliwe kuwa magaidi siyo? Hili jinga lingejua kuwa hawa wanaojidai kuamini kwenye hizi dini nyemelezi ndiyo mabingwa wa ufuska, wizi, na uchafu mwingine kijamii, lingenyamaza. What a curse of salvation! Kama jisomi linapokoma hivi, hao wasioona darasa watapayukaje? Nadhani huyu ni gaidi wa kikristo.
 
Ujue Mungu hadhihakiwi ulichoandika siyo kuwadhihaki na kuwatukana wakristo badala yake unamtukana na kumdhihaki Allah kwenu nyie waislam kwetu sisi wakristo Jehova jirekebishe kabla baya halijakukuta zaidi ya mabaya mengine mengi yalowakuta watu waliocheza na Mungu na Amri zake kama wewe Mungu akurehemu kwa wingi wa Fadhila zake Asante.
 
Wanabishana kwenye dini na kujiona wako sahihi
ni kosa k kubishana katika dini kama huna elimu nayo
Ndio maana Niko kimya
 
MALEZI MALEZI MALEZI, watu wagawiwe mitaji wapate pesa za kuwahudumia watoto wao.

UMASKINI UTATUMALIZA TANZANIA.
 
Ukitaka kucheka mpeleke Profesa kutoka Tanzania huko na umpe majukumu ya usimamizi kama hujamkuta analia kajifungia chumbani, kisa hajuwi afanye nini. Hii elimu ya kukariri kwa kweli imeharibu sana watanzania, unakuta mtu anakariri mpaka maisha yake.
Aisee unakutana na vijana kazini wanavyojituma na kufanya kazi yako kuwa rahisi mpaka machozi ya furaha yananitoka. Yaani kila mtu anajua majukumu yake na yupo serious na kazi yake. Aisee na wanawaheshimu walio wazidi experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…