PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.

Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi

“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.

Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.

Amesema kweli, huwezi kumwita kiongozi aliyechaguliwa kuwa ni haramu.
Hawa tunaowaita viongozi haramu hawakuchaguliwa, waliiba kura na kuiba kura lazima mwizi uitwe kiongozi HARAMU.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.

Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi

“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.

Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
Aluchaguliwa na nani?au mlijichaguaa?
 
Ila tu wanaamini watoto wa maskini wanaweza kutozwa fedha kusomea vitu ambavyo ni ngumu kuvibadili kua pesa
Ukiwatoa hawa wanaopiga kelele 90% walete mtaani huku kwenye mizunguko kavu kavu....watatembea nguo mkononi..ukifanikiwa kutoka funga mdomo..elekeza watu kwa jinsi halisi ya kujenga connection na utafutaji usiochosha mwili na roho.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.

Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi

“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.

Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
View attachment 3685939
Uchambuzi mzuri sana kutoka kwa Prof. Kabudi kuhusu staha ya lugha katika siasa. Hata hivyo, kauli hii inatukumbusha ukweli usiopingika wa kisaikolojia na kisiasa: kiti anachokalia mtu ndicho kinachoamua mtazamo na sauti yake. Ukimweka Prof. Kabudi wa mwaka 2014 (kipindi cha harakati za Katiba Mpya chini ya Tume ya Warioba) kwenye mjadala wa Mlimani City meza moja na Prof. Kabudi wa sasa aliyekirimiwa nafasi serikalini, utakutana na mgongano mkubwa na wa kihistoria wa kifalsafa (ideological conflict).
Kabudi wa zamani alisimama kidete kutetea sauti, uhuru wa kukosoa, na maoni ya wananchi bila woga, akiamini midahalo haikuwa jinai. Leo hii akiwa ndani ya mfumo wa mamlaka, lugha yake imebadilika na kuwa ya kulinda utulivu, diplomasia, na kuondoa kile anachokiita 'ukakasi'. Hili ni somo tosha kwetu kwamba, katika siasa, hamu ya kutafuta mabadiliko ukiwa nje mara nyingi hutumia lugha ya mapambano, lakini dhamana ya uongozi ukiwa ndani hulazimika kujenga ukuta wa staha na kuilinda mifumo iliyopo.
 
Kwani ukiongea hivi inabadilisha nini?...wote tuliona kilichotokea...sasa kama alichaguliwa kwa nini aliapishwa kwenye kambi ya jeshi?....
Kabudi anachekesha sana ....naamini mwaka 2005 wakati Jakaya anakuwa Rais alikuwa pale jalalani sasa kwa taarifa tu huyu JK mwaka 2005 ndio alichaguliwa hata wapinzani wanajua
 
Back
Top Bottom