07 October 2026
Mbeya, Tanzania
CHADEMA MBEYA VIJANA WAONGEA MAZITO KUHUSU UTAWALA WA CHAMA DOLA KONGWE
Sheria kandamizi, sheria haramu
View: https://m.youtube.com/watch?v=ozw1yVoxxEs
Wachambua kwa kina utawala haramu wa watu wachache waliopo ndani ya chama dola Kongwe. Kutekwa nyara kwa mchakato mzima wa uchaguzi hivyo kutoa uongozi haramu ambao haujachaguliwa na wananchi. Msimamo wa No reforms No Elections
Matumizi ya mifumo ya Haki jinai kwa kutunga makosa feki, matumizi ya vyombo vya usalama vya dola kama alivyosema Paul, Chacha katibu wa oganaizesheni pia wauaji kujaribu kuishawishi Mahakama kuwa kuna kesi ya uhaini n.k
Prof. Kabudi angaka na kukasirishwa na hali halisi ya ukweli ya serikali yao. Serikali haramu. Serikali ya mabavu, serikali ya genge la wachache waliojipachika madarakani.