Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Na mbogaAnatetea ugali
Tofauti ya mhaini na haramu ni ipi?“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Kabudi aliashauriwa kwakua yeye ni mbobezi katika uchumi basi ajiuzulu kisha awe mfanyabiashara alikua mkali kupita maelezoNa mboga
Amesema kweli, huwezi kumwita kiongozi aliyechaguliwa kuwa ni haramu.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
Aluchaguliwa na nani?au mlijichaguaa?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
Mkuu si rahisi watu huwa wanaongea tu...kujiajiri kunahitaji moyo wa chuma...Kabudi aliashauriwa kwakua yeye ni mbobezi katika uchumi basi ajiuzulu kisha awe mfanyabiashara alikua mkali kupita maelezo
Ila tu wanaamini watoto wa maskini wanaweza kutozwa fedha kusomea vitu ambavyo ni ngumu kuvibadili kua pesaMkuu si rahisi watu huwa wanaongea tu...kujiajiri kunahitaji moyo wa chuma...
Ukiwatoa hawa wanaopiga kelele 90% walete mtaani huku kwenye mizunguko kavu kavu....watatembea nguo mkononi..ukifanikiwa kutoka funga mdomo..elekeza watu kwa jinsi halisi ya kujenga connection na utafutaji usiochosha mwili na roho.Ila tu wanaamini watoto wa maskini wanaweza kutozwa fedha kusomea vitu ambavyo ni ngumu kuvibadili kua pesa
Uchambuzi mzuri sana kutoka kwa Prof. Kabudi kuhusu staha ya lugha katika siasa. Hata hivyo, kauli hii inatukumbusha ukweli usiopingika wa kisaikolojia na kisiasa: kiti anachokalia mtu ndicho kinachoamua mtazamo na sauti yake. Ukimweka Prof. Kabudi wa mwaka 2014 (kipindi cha harakati za Katiba Mpya chini ya Tume ya Warioba) kwenye mjadala wa Mlimani City meza moja na Prof. Kabudi wa sasa aliyekirimiwa nafasi serikalini, utakutana na mgongano mkubwa na wa kihistoria wa kifalsafa (ideological conflict).Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
View attachment 3685939
Ni mwanasheria 🤣 😂 akatoa macho na mapovuuu haaaahaaKabudi aliashauriwa kwakua yeye ni mbobezi katika uchumi basi ajiuzulu kisha awe mfanyabiashara alikua mkali kupita maelezo