PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kachaguliwa?
 
Akichaguliwa, je kivipi?
 
Anakataa HARAMU halafu anakubali ISIYO HALALI!Hivi huyu mzee anajua kiswahili kweli?
 
Yupo sahihi kabisa………. Ila akumbuke HAPAKUA na UCHAGUZI, walipika matokeo na kujitangaza washindi hivyo wanakidhi vigezo vya kuitwa HARAMU
 

Kabudi ni Joseph Goebbels!
Propagandist wa Nazi Germany.
 

March 2026
Dr. Gertrude Ibengwe Mongella - On Apetite for Power


View: https://m.youtube.com/shorts/8bQokjVRBhA
 
27 July 2026
Jenerali Ulimwengu explore the history, meaning of Not Yet Uhuru and future of our nations

View: https://m.youtube.com/shorts/-jtN3C0fXlE
Tofauti ya : INDEPENDENCE UHURU WA TAIFA NA FREEDOM UHURU WA PILI
Unasema: dhana ya Uhuru wa taifa la Jamhuri ya Afrika Kusini Republic of South Africa na freedom ya 1994 dhana ya Uhuru wa pili yaani Freedom wa Jamhuri ya Afrika Kusini na freedom ya 1994

Uhuru wa Pili yaani Freedom ya Afrika Kusini ya mwaka wa 1994 iliashiria mwisho wa utawala wa ubaguzi wa rangi wa wazungu wachache na kuzaliwa kwa demokrasia inayojumuisha kikamilifu kupitia uchaguzi wa kwanza wa rangi nyingi nchini humo.

Muktadha wa Kihistoria na Uhuru

Uhuru Kisheria: Afrika Kusini ikawa utawala huru chini ya Sheria ya Uingereza ya Westminster mnamo 1931 na ikajitangaza rasmi kuwa jamhuri mnamo Mei 31, 1961.

Utawala wa Wazungu na Wachache: Uhuru wa mapema haukumaanisha uhuru kwa wote; badala yake, uliimarisha udhibiti wa kisiasa kwa wachache wazungu.

Mfumo wa Ubaguzi wa Rangi: Kuanzia sana na uchaguzi wa 1948, serikali ilianzisha ubaguzi wa rangi, ikitenganisha kisheria na kuwanyang'anya haki za raia Weusi walio wengi na wengine wasio weupe.

Mpito wa 1994 hadi Uhuru wa kweli kwa mwanaSouth Afrika

Uchaguzi wa Kwanza wa Kidemokrasia: Mnamo Aprili 27, wakati wa kupatiwa uhuru wa pili yaani Freedom wa 1994, mamilioni ya Waafrika Kusini wa rangi zote walipiga kura katika uchaguzi wa kwanza wa kupiga kura kwa wote nchini.

Uongozi Mpya: Chama cha African National Congress (ANC) kilishinda uchaguzi, na Nelson Mandela aliapishwa kuwa rais wa kwanza Mweusi nchini humo mnamo Mei 10, 1994.

Siku ya Freedom Uhuru wa pili : Aprili 27 huadhimishwa kila mwaka kama Siku ya Uhuru wa Pili [[Freedom] ili kuadhimisha kufutwa kisheria kwa ubaguzi wa rangi na kuzaliwa kwa demokrasia ya kikatiba.

Changamoto za Urithi na Zinazoendelea

Ukosefu wa Usawa wa Kimuundo: Ingawa mwaka 1994 ulileta ukombozi mkubwa wa kisiasa, wasomi na harakati za kijamii wanabainisha kuwa haukufuta papo hapo tofauti kubwa za kiuchumi zilizokuwa zimekita mizizi.

Mapambano ya Sasa: Majadiliano ya kisasa yanaona mwaka 1994 kama mwanzo wa msingi badala ya mwisho, huku juhudi zinazoendelea zikilenga kutatua umaskini, ufisadi, na ukosefu wa usawa wa kimfumo
 
Ebu kwanza atuambie yeye amesikia wapi huyo haramu akitajwa..??
 

posho ina nguvu kuliko elimu na akili Tanzania
 
Haujachaguliwa na mtu Professor nani kakuchagua
 
Ukiwa chawa n umri umeenda ni vituko tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
HILI NALO K@$^^%)(**&^%#@ ZAKE
 

Safi sana. Kumbe inawaauma ... Chadema washikilie hapo hapo. Haiwezekani waibe na kuharibu chaguzi halafu wadai heshima. Kama wanataka kuheshimiwa waache kuiba na kuharibu chaguzi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…