PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mwalimu nyerere katika wale maadui watatu wa taifa ukiachana na maradhi, ujinga , na umaskini basi angeongeza na uchawa maana ndo unazaa uzandiki kwa sasa
 
Anatetea ugali
Waislamu waliopo serikalini wanao muunga mkono samia ulazimisha wasio waislamu kuongea vitu kwa lazima ...yaani una andikiwa utakayo taking kusema ..na wanatumia mbinu hii ili kutengeneza kungi kubwa la uchafu ..yaani kukusiliba kinyesi Chao ili unuke kama wao
 
Huyo hajachaguliwa labda kura zilizotikiwa na polisi. Kajipachika au kapachikwa na polisi na JWTZ kwa hiyo ni haramu.
 
akichaguliwa! Saa100 Hakuchaguliwa,alijichagua
 
Huu ndio ujumbe aliosema leo huyu waziri wa sera uratibu ,bunge ,vijana na walemavu

Wananchi mna maoni Gani tumwite Samia siyo halali au tumwite haramu?
 
He Bela wochi hezi bakiiiii Hali ni Mbaaaaaaaaaaya
 
Kuna tofauti gani kati ya haram na sio halali.

Swali kwa waislam nguruwe ni haram au sio halali.
 
Huu ndio ujumbe aliosema leo huyu waziri wa sera uratibu ,bunge ,vijana na walemavu

Wananchi mna maoni Gani tumwite Samia siyo halali au tumwite haramu?
Kabudi kaharibu kusema hivyo! Unajua Wabongo ukiwa unaitwa jina fulani halafu unalichukia ndio wanaliita ili uchukie zaidi. Ukipuuza wanachoka kukuita.
 
Na kitimoto kisiitwe haramu kama neno lina ukakasi mkubwa!😁

BTW:Kiongozi kama yule Rais wa TOC aliyeambulia kura moja kisha kutangazwa mshindi kwa amri ya waziri naye hastahili huo ukakasi mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…