Naunga mkono hoja,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Kabudi ni mfano halisi wa professorial rubbish.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
WhitewashingWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
Mkuu kelele zile zilikuwa za mtu mwenye njaa, kuna wakati nakumbuka vita ya Kabudi na Ulimwengu , pale Ulimwengu alipogoma kumuachia ofisi kule Algiers, Algeria. Sikutarajia Kabudi yule angekuwa huyu wa sasa ambaye kapoteza ujasiri wa kutetea haki, Kabudi wa zama zile alikuwa mwamba haswa kuhusu kutetea haki za Watanganyika, baada ya UKAWA na kuonja tamu ya asali ndio kageuka sijui kimemsibu nini huyu Prof. huku uzeeni.Uchambuzi mzuri sana kutoka kwa Prof. Kabudi kuhusu staha ya lugha katika siasa. Hata hivyo, kauli hii inatukumbusha ukweli usiopingika wa kisaikolojia na kisiasa: kiti anachokalia mtu ndicho kinachoamua mtazamo na sauti yake. Ukimweka Prof. Kabudi wa mwaka 2014 (kipindi cha harakati za Katiba Mpya chini ya Tume ya Warioba) kwenye mjadala wa Mlimani City meza moja na Prof. Kabudi wa sasa aliyekirimiwa nafasi serikalini, utakutana na mgongano mkubwa na wa kihistoria wa kifalsafa (ideological conflict).
Kabudi wa zamani alisimama kidete kutetea sauti, uhuru wa kukosoa, na maoni ya wananchi bila woga, akiamini midahalo haikuwa jinai. Leo hii akiwa ndani ya mfumo wa mamlaka, lugha yake imebadilika na kuwa ya kulinda utulivu, diplomasia, na kuondoa kile anachokiita 'ukakasi'. Hili ni somo tosha kwetu kwamba, katika siasa, hamu ya kutafuta mabadiliko ukiwa nje mara nyingi hutumia lugha ya mapambano, lakini dhamana ya uongozi ukiwa ndani hulazimika kujenga ukuta wa staha na kuilinda mifumo iliyopo.
Hahaha… Faki them mazafakas! Wamechaguliwa na nani?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
Kisicho halali ni haramu.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.
Prof. Kabudi amesema hayo leo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi
“Huwezi kumwita mwenzako kiongozi haramu, unaweza kusema hayupo hapo kihalali. Neno haramu katika Kiswahili lina maana ya ukakasi mkubwa sana,” amesema Prof. Kabudi.
Aidha, Prof. Kabudi amesisitiza umuhimu wa Baraza la Vyama vya Siasa kushirikisha wanawake na wadau wengine katika shughuli zake, akieleza kuwa heshima na ushirikiano ni sehemu muhimu ya kujenga mazingira mazuri ya kisiasa nchini.
Kabudi aliashauriwa kwakua yeye ni mbobezi katika uchumi basi ajiuzulu kisha awe mfanyabiashara alikua mkali kupita maelezo
Mhe. Kabudi lazima ajue ni vigumu sana kiongozi kujichagua, viongozi huchaguliwa, na nani hilo ni jambo jingine. Kinachozungumzwa hapa ni kiongozi kutochaguliwa kupitia sanduku halali la kura badala yake watu wachache humchagua kisha kumtangaza kwa sifa zote za utashi wao.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio sahihi.