Prof. Kabudi: Kura za CCM ziko Kanda ya Ziwa, huko (kwenye kanda nyingine) ni za kuongezea ongezea tu!

Prof. Kabudi: Kura za CCM ziko Kanda ya Ziwa, huko (kwenye kanda nyingine) ni za kuongezea ongezea tu!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine kura zetu ni za kuongezea ongezea tu, ila msingi wa kura za CCM uko Kanda ya Ziwa.

Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao, mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba Kanda ya Ziwa tu ina uwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?
 
Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine,kura zetu ni za kuongezeaongezea tu, ila msingi wa kura za ccm uko kanda ya ziwa

Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao,mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba kanda ya ziwa tu inauwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?
Amesema ukweli mchungu.......waulize bavicha wanalielewa hilo!
 
Population ya kanda ya ziwa ni kubwa kuliko maeneo mengine yote yaliyobaki kwa pamoja
 
Wewe kiswahili hujui ?

Tumesema kanda ya ziwa Ndio inakura ya veto kuamua mgombea ashindwe au ashinde

Kanda ya ziwa ikikutaa Huwezi kushinda

Unafikiri mwenyekiti wako Mbowe ni mjinga kuweka katibu Mkuu wa chadema kutoka kanda ya ziwa?@adolay,
 
Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine,kura zetu ni za kuongezeaongezea tu, ila msingi wa kura za ccm uko kanda ya ziwa

Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao,mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba kanda ya ziwa tu inauwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?
Msalimie yeriko na nganepi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ukweli kura hizo hua ni mikoa ifuatayo 1. Mwanza 2. Shinyanga 3. Simiyu 4. Kagera 5. Tabora 6. Rukwa 7. Katavi 8. Kigoma 9.Geita 10. Mara hii ndio maana ya kanda ya ziwa kwa ccm ukiacha kushinda huko sahau kushinda na ni kwasababu mikoa hiyo ina population kubwa kuliko mingine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine,kura zetu ni za kuongezeaongezea tu, ila msingi wa kura za ccm uko kanda ya ziwa

Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao,mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba kanda ya ziwa tu inauwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?
Tafiti ya twaweza inasema ccm inapata kura nyingi kwa watu wasioelimika wajinga bila kujali wanatoka kanda ipi sitaki kuamini kuwa kanda ya ziwa kuna wajinga wengi!
 
Hesabu hazidanganyi, kwa nini chadema wanashindwa uchaguzi wakati klm (karibia) wote wanaichagua? Namba hazitoshi ni rahisi kihivyo tu!
 
Back
Top Bottom