Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 453
Huenda ni lweliKm kuna kanda ina wajinga wengi zaidi ya kanda hii bas nilaanike!
Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine kura zetu ni za kuongezea ongezea tu, ila msingi wa kura za CCM uko Kanda ya Ziwa.
Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao, mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba Kanda ya Ziwa tu ina uwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?
Kwa Mara ya kwanza ndo nasikia Tabora, Rukwa na Kigoma ikiitwa mikoa ya kanda ya ziwa.Huo ni ukweli kura hizo hua ni mikoa ifuatayo 1. Mwanza 2. Shinyanga 3. Simiyu 4. Kagera 5. Tabora 6. Rukwa 7. Katavi 8. Kigoma 9.Geita 10. Mara hii ndio maana ya kanda ya ziwa kwa ccm ukiacha kushinda huko sahau kushinda na ni kwasababu mikoa hiyo ina population kubwa kuliko mingine
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahiyo huu si Ukabila au ukanda...!??Naam kanda ya ziwa toka enzi za Mkapa Ndio huamua nani ashinde Urais
Kwa Mara ya kwanza ndo nasikia Tabora, Rukwa na Kigoma ikiitwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
UkabilaNaam kanda ya ziwa toka enzi za Mkapa Ndio huamua nani ashinde Urais
Huko ni kwao Dada yangu manengelo ndio kwenye watu wasiokua na uelewa na ndio ccm wanapigia kura
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zingatia utafiti wa NBS mikoa maskini ilijitokeza sana toka Kanda ya ZiwaTafiti ya twaweza inasema ccm inapata kura nyingi kwa watu wasioelimika wajinga bila kujali wanatoka kanda ipi sitaki kuamini kuwa kanda ya ziwa kuna wajinga wengi!
Nimeliona usk huu nyomi linalotoka eapot!hahhaa wanaswampa utawaonea huruma!..
Km kuna kanda ina wajinga wengi zaidi ya kanda hii bas nilaanike!
Huyo jamaa anaingia kwenye utafiti wa twawezaKwa Mara ya kwanza ndo nasikia Tabora, Rukwa na Kigoma ikiitwa mikoa ya kanda ya ziwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatoka kanda gani ? Ebu tuanzie hapo. Kwa taarifa yako wewe tumbili Kanda ya Ziwa ndio Tanzania. Hutaki kajinyongeNa hii ni kweli, na ndio maana UMASIKINI, UJINGA, na maradhi au magojwa na ushirikina umajaa huko kanda la ziwa, Ndio sababu wako nyuma ajabu, shule watoto wanakalia mawe chini ya miti, wengi katika kanda la ziwa hata darasa la 7 hawakufika, je unatarajia akili za watu kama hao ziwe aje??? ndio umasikini wa ajabu umekita mizizi huko kanda la ziwa