Prof. Kabudi: Kura za CCM ziko Kanda ya Ziwa, huko (kwenye kanda nyingine) ni za kuongezea ongezea tu!

Prof. Kabudi: Kura za CCM ziko Kanda ya Ziwa, huko (kwenye kanda nyingine) ni za kuongezea ongezea tu!

Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine kura zetu ni za kuongezea ongezea tu, ila msingi wa kura za CCM uko Kanda ya Ziwa.

Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao, mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba Kanda ya Ziwa tu ina uwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?
UBAGUZI UBAGUZI wazi kabisa! Mfarisayo huyu! Leo tunazungumzia ukanda? Mzanzibar! Mpemba! Kanda! Kesho Msukuma, Mhsya, dtc....Maskini Nyerere umetuachia nini?
 
Na hii ni kweli, na ndio maana UMASIKINI, UJINGA, na maradhi au magojwa na ushirikina umajaa huko kanda la ziwa, Ndio sababu wako nyuma ajabu, shule watoto wanakalia mawe chini ya miti, wengi katika kanda la ziwa hata darasa la 7 hawakufika, je unatarajia akili za watu kama hao ziwe aje??? ndio umasikini wa ajabu umekita mizizi huko kanda la ziwa
Tofautisha kauli za mtu na fact,,katika maeneo yaliyo nyuma na masikini kabisa tz,,lindi na mtwara,,singida,,dodoma na pwani,,hakuna mkoa wa kanda ya ziwa unaozidiwa na mikoa hii,,dodoma ni mjini tu hapa napo siku za majuzi majuzi,,miaka ya 2000 tu dodoma hapa huwezi amini kama hali ilikuwa vile,,acha chuki ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo aliosema hivyo ni mbaguzi na Nyerere angemkemea hadharani... huyo ndo alikuwa anawasema wakenya kwa ubaguzi dah prof kaniangusha tena
 
Huyu Kabudi akiyekuwa akikemea ukabila Kenya ndio katamka haya maneno?
Kabudi anagawa watu kwa misingi ya ukanda kwa faida za siasa halafu juzi aliwananga Kenya eti wakabila?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni mwalimu asiyeyaishi anayoyafundisha na kuhubiri! Ni aina ya mtu hatari sana kwa jamii kuliko virusi vya Ebola! Waliomuweka wasipomthibiti sasa wategemee vurugu za kikanda na kikabila! Ref. Genocide ya Rwanda na Burundi ilivyoanza na waanzilishi hawatofautiani na kabudi!
 
Kumbukumbu iwekwe, kuwa Leo tena kwa maneno haya ya Kabudi, ndio mwanzo wa ukabila na ukanda wa wazi.

Mungu amrehemu Mwalimu Nyerere, alilipiga vita kwa nguvu zake zote, lakini leo ile juhudi yake imefifishwa na pengine hata kufa.

The beginning of a bad history for my beloved Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiendelea hivi huko mbeleni kuna haja ya Kanda fulani kudai uhuru wake yaani kujitenga. Sio jambo la kushabikia hili. Ikitokea kila Kanda itakuwa ikimpigania mtu wa kwao basi hata ndani ya vyama hasa ccm watahakikisha wa Kanda yao ndiyo anapata uwakilishi. Je wale watakaokuwa wamekosa nafasi unategemea nn kitatokea??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanda huzijui babu, katavi haiwezi kuwa kanda ya ziwa
Huo ni ukweli kura hizo hua ni mikoa ifuatayo 1. Mwanza 2. Shinyanga 3. Simiyu 4. Kagera 5. Tabora 6. Rukwa 7. Katavi 8. Kigoma 9.Geita 10. Mara hii ndio maana ya kanda ya ziwa kwa ccm ukiacha kushinda huko sahau kushinda na ni kwasababu mikoa hiyo ina population kubwa kuliko mingine


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine kura zetu ni za kuongezea ongezea tu, ila msingi wa kura za CCM uko Kanda ya Ziwa.

Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao, mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba Kanda ya Ziwa tu ina uwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?

Huo ni ukabila na dharau kwa watanzania wote.
Kuna kipindi kulikuwepo na bomoa bomoa, mkuu akasema watu wa huko wasibomolewe nyumba zao kwani wao ndo waliomchagua

Ukiangalia mambo ambayo yamepewa kipaumbele katika hawamu hii ni kuakikisha kanda ya ziwa inapendelewa, na hata una miradi ambayo imeelekezwa huko bila kujali faida zake kwa nchi.

Watu badala ya kulizungumzia hili, wao wamebakia kuvisema vyama pinzania na viongozi wao kuwa wanaendekeza upinzania
 
Na hii ni kweli, na ndio maana UMASIKINI, UJINGA, na maradhi au magojwa na ushirikina umajaa huko kanda la ziwa, Ndio sababu wako nyuma ajabu, shule watoto wanakalia mawe chini ya miti, wengi katika kanda la ziwa hata darasa la 7 hawakufika, je unatarajia akili za watu kama hao ziwe aje??? ndio umasikini wa ajabu umekita mizizi huko kanda la ziwa
Umechanganya na kanda nyingine wewe,kumbuka kanda ya Ziwa inajumuisha Mara,Kagera na Mwanza...Majaji,Raisi hii mara ya pili,Kardinali,gavana wa benki kuu,wakuu wa Majeshi na Polisi,wewe utakuwa unaongelea kanda nyingine,pumbavu mkubwa wewe kama alivyo Kabudi anayeongea uvundo
 
CCM haijawahi kushinda uchaguzi wowote ule...may be ule wa 1995 Tanganyika na 2010 Tanganyika..
Kwa Zanzibar Mungu anajua...laaah
 
Back
Top Bottom