Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Hili litawafanya wajione wao ni muhimu kuliko Watanzania wengine. Pathetic!Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine kura zetu ni za kuongezea ongezea tu, ila msingi wa kura za CCM uko Kanda ya Ziwa.
Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao, mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba Kanda ya Ziwa tu ina uwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza kuzipuuza kanda nyingine?