Prof. Kabudi: Kura za CCM ziko Kanda ya Ziwa, huko (kwenye kanda nyingine) ni za kuongezea ongezea tu!

Huo ni ukweli kura hizo hua ni mikoa ifuatayo 1. Mwanza 2. Shinyanga 3. Simiyu 4. Kagera 5. Tabora 6. Rukwa 7. Katavi 8. Kigoma 9.Geita 10. Mara hii ndio maana ya kanda ya ziwa kwa ccm ukiacha kushinda huko sahau kushinda na ni kwasababu mikoa hiyo ina population kubwa kuliko mingine

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu samahani lakini nadhani wewe unaingia kwenye utafiti wa twaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ukweli kura hizo hua ni mikoa ifuatayo 1. Mwanza 2. Shinyanga 3. Simiyu 4. Kagera 5. Tabora 6. Rukwa 7. Katavi 8. Kigoma 9.Geita 10. Mara hii ndio maana ya kanda ya ziwa kwa ccm ukiacha kushinda huko sahau kushinda na ni kwasababu mikoa hiyo ina population kubwa kuliko mingine

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kagera ipi??

Maana hata mitaa chadema ndo ulipata mitaa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala bata wala hatujisifu. Ila ungefunuliwa kwamba unawasiliana na nani ungeshangaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenzako naswampa kwa malengo ati...hahhaa niache mie nakula bata had natundikiwa drip[emoji4][emoji4]!jina lako tu linasadifu dhiki ulonayooooo[emoji133][emoji133][emoji133](jokes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ukweli kura hizo hua ni mikoa ifuatayo 1. Mwanza 2. Shinyanga 3. Simiyu 4. Kagera 5. Tabora 6. Rukwa 7. Katavi 8. Kigoma 9.Geita 10. Mara hii ndio maana ya kanda ya ziwa kwa ccm ukiacha kushinda huko sahau kushinda na ni kwasababu mikoa hiyo ina population kubwa kuliko mingine

Sent from my iPhone using JamiiForums
The Least developed region...in the country!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom