johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote.
Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban kwa 100%.
Kibongobongo John anaitwa Yohana.
Source ITV Habari
Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban kwa 100%.
Kibongobongo John anaitwa Yohana.
Source ITV Habari