Prof. Kabudi na Tundu Lissu wanastahili kuwa kwenye Serikalli ya Rais Samia

Huyu Dunianui chini ya Jua hakuna kinachi shindikana, Mandela alifanya na watwsi wake na sasa South Africa mambo ni safi ukiwaacha vibaka wanao shambulia ndugu zao waaafrica huko
Mkuu unaweza kulala/kuishi nyumba moja na nyoka(spitting cobra)???
 
Ikiwezekana, nitatafuta njia ya kuwa control hao cobra wasilete madhara kama Nguchiro na mchwa wanavyoishi pamoja ndani ya kichuguu bila madhara, labda inabidi tujifunze hii anaimal behaviour itusaidie...
Msikilize huyu kijana anayeishi na snake wake bila mkwaruzo:
View: https://youtu.be/8prcirHDfNU?si=GEK94PPHesbqm47l

au huyu anayeishi na nyoka sabini:
View: https://youtu.be/xkI6HrR24CE?si=HYaTKpIZkUj1UyMX
 
'Kazi ya uongozi ni ngumu sana'!

Kwani anafanya kazi dependent?

Nadhani maudhui ya mleta mada ni kuwa 'madini' wanayoyamwaga nje ya mfumo, waje wayamwagie ndani ili yalete manufaa.

Uwaziri or whatever unafanyakazi kwa collective responsibilities, kwa hiyo umakame nguvu na dosari zingine za mihemko ya mtu hufichwa na kanuni hiyo.

Nami naungana na mtoa hoja ingawa hajawataja wengi wazuri waliopo nje ya mfumo wanaoweza kulisaisia taifa kuvuka tulipokwama na kusonga mbele.

Uchadema ama Uccm ni matabaka kama matabaka ya dini na ukiwachunguza wote unaona kabisa utofauti wao si wa maslahi kwa nchi bali ni wa kusaka ugali wa kushibisha matumbo yao.
Kabudi alimwaga sana madini nje ya mfumo , kaingia kwenye mfumo kakana madini yake sasa mtu wa namna hii huwezi kumuamini hata siku moja, it was a good test na akafeli. Kifupi haaminiki tena. Lissu ana tatizo la ujuaji na jazba na mara nyingi hutumia maneno makali pasipo na sababu, unaweza kuwa na maarifa ila ukikosa control unaharibu kila kitu na kiukweli hivi siyo vitu vidogo hasa unapoongoza nchi. Si ajabu pale chadema Mbowe ameendelea kuwa kiongozi wao kwa sababu inaonekana ndo yuko wise kuliko wenzie
 
Kwanini wapewe nafasi wao na si wengine? na umetumia kipimo gani kusema wanauwezo na kufaa.
 
Sijatumwa, lakini ikikupendeza,

Hawa watu waweke kwemye serikali yako. Wataiva tu pamoja, hata kama wana itikadi tofauti.

tuletee watu wa kutupeleka mbele hata kama wanatofautiano kimtizamo.

Chonde chonde, mrudishe huyu mwanazuoni huko serikalini, amekaa bench muda mrefu na ana madini ya kutosha kwa nchi na kwenye baraza lako la mawaziri. Tundu Lissu pia, bila kujali ni chadema, fanya juu chini, muweke serikalini ana mambo mazuri, malumbano yamekuwa mengi, muweke aje kuwa sehemu ya suluhisho sio kila siku ngangara ngarara...na wewe anakuheshimu sana maana hata kule Nairobi ulienda kumuona, hata kataa ukimulika kwenye serikali yako kama kweli ana nia njema ya kuwatumikia watanzania wote bila kujali vyama vyao.

Kwa jinsi ile ile Mtoto wako Paul Bashite Christian Makonda alivyokuombea kule kwenye Bunge la katiba, nami leo nakuja kwa style ile ile. Huyu professor Kabudi na Tundu Lissu usiwaache kwa mustakabari wa nchi yetu.

Nguchiro, mchwa wanaishi ndani na kichuguu bila mkwaruzano.

Mapovu ruksa, mimi sina chama na nawaangalia hawa wawili toka nje ya boksi pamoja na madhaifu ya hapa na pale na ambayo ni ya kibinaadam , chonde chonde Mama, walete waje kusaidia mambo ya nchi yetu. umewaficha sana. Watoe mtondo goo, nchi isonge kwa style ya Mchwa na Nguchiro ndani ya kichuguu.
Walete bila hiyana.

Lissu aje ccm angalau anajitambua,mbowe na genge Lake ni watu wa kushindana na zitto sio ccm
 
Huwezi kumuweka Tundu Lissu uwaziri kwenye serikali ya ccm. Itikadi ndio msingi wa mtu kutumika kwa malengo yaliyowekwa na chama cha siasa. Lissu anaamini ushoga ni haki ya mtu. Ukiacha hilo ni muomini wa demokrasia ya kiliberali. Yaani uhuru bila mpaka kila kitu. Yaani mahakama licha ya udhalimu unaoweza kuweko huko ndio kila kitu. Hapana lissu hafai. Ila Kabudi wanamapinduzi na wapenda haki wote tunampenda na tulishangaa mama kumuondoa baraza la mawaziri. Badala yake anaweka vilaza na wapinga maendeleo kama kina nape, mwigulu na januari makamba.
 
Mbona hayo yote ndio msimamo wa serikali ya ccm, hata Makonda alipingwa na waziri Mahiga, cha msingi ni ujenzi wa nchi , haya ya itikadi ni propaganda zinazotukwamisha kwa style na maneno ya JPM, Vyama vinatukwamisha.
Tuletewe watu wachape kazi usiku na mchana, tuiendeleze nchi yetu. Hayo ya ushoga ukiyachunguza sana, utakuta kila mwanaume naye ni shoga maana kuna siku alikusokea tundu na kutumbukiza sehemu nyingine na ndio maana si vema kuwanyanyapaa wanaojitokeza hadharani na kukili walikosokea kupitia tundu lingine...nafikiri pia ni msimamo wa serikali kwamba Ushoga ni haki ya mtu kula anacho kipenda, serikali ilisema mambo haya miaka ile ya vurugu za mwembe yanga- ruksa. Na ni hii hii serikali ya ccm. Lissu anapitia mule mule...sasa muleteni aje ashirikiane nanyi, tuijenge Tanzania bila kupeana lebel zisizo na style.
 
Yaani kile unaita lebal ndio inatujulisha mtu anataka utumishi wa umma kwa maslahi binafsi tu su kwa maslahi ya umma.
 
Back
Top Bottom