Prof. Kabudi na Tundu Lissu wanastahili kuwa kwenye Serikalli ya Rais Samia

Huyu Dunianui chini ya Jua hakuna kinachi shindikana, Mandela alifanya na watwsi wake na sasa South Africa mambo ni safi ukiwaacha vibaka wanao shambulia ndugu zao waaafrica huko
Mkuu unaweza kulala/kuishi nyumba moja na nyoka(spitting cobra)???
 
Mkuu unaweza kulala/kuishi nyumba moja na nyoka(spitting cobra)???
Ikiwezekana, nitatafuta njia ya kuwa control hao cobra wasilete madhara kama Nguchiro na mchwa wanavyoishi pamoja ndani ya kichuguu bila madhara, labda inabidi tujifunze hii anaimal behaviour itusaidie...
Msikilize huyu kijana anayeishi na snake wake bila mkwaruzo:
View: https://youtu.be/8prcirHDfNU?si=GEK94PPHesbqm47l
au huyu anayeishi na nyoka sabini:
View: https://youtu.be/xkI6HrR24CE?si=HYaTKpIZkUj1UyMX
 
Kabudi alimwaga sana madini nje ya mfumo , kaingia kwenye mfumo kakana madini yake sasa mtu wa namna hii huwezi kumuamini hata siku moja, it was a good test na akafeli. Kifupi haaminiki tena. Lissu ana tatizo la ujuaji na jazba na mara nyingi hutumia maneno makali pasipo na sababu, unaweza kuwa na maarifa ila ukikosa control unaharibu kila kitu na kiukweli hivi siyo vitu vidogo hasa unapoongoza nchi. Si ajabu pale chadema Mbowe ameendelea kuwa kiongozi wao kwa sababu inaonekana ndo yuko wise kuliko wenzie
 
Kwanini wapewe nafasi wao na si wengine? na umetumia kipimo gani kusema wanauwezo na kufaa.
 
Lissu aje ccm angalau anajitambua,mbowe na genge Lake ni watu wa kushindana na zitto sio ccm
 
Huwezi kumuweka Tundu Lissu uwaziri kwenye serikali ya ccm. Itikadi ndio msingi wa mtu kutumika kwa malengo yaliyowekwa na chama cha siasa. Lissu anaamini ushoga ni haki ya mtu. Ukiacha hilo ni muomini wa demokrasia ya kiliberali. Yaani uhuru bila mpaka kila kitu. Yaani mahakama licha ya udhalimu unaoweza kuweko huko ndio kila kitu. Hapana lissu hafai. Ila Kabudi wanamapinduzi na wapenda haki wote tunampenda na tulishangaa mama kumuondoa baraza la mawaziri. Badala yake anaweka vilaza na wapinga maendeleo kama kina nape, mwigulu na januari makamba.
 
Mbona hayo yote ndio msimamo wa serikali ya ccm, hata Makonda alipingwa na waziri Mahiga, cha msingi ni ujenzi wa nchi , haya ya itikadi ni propaganda zinazotukwamisha kwa style na maneno ya JPM, Vyama vinatukwamisha.
Tuletewe watu wachape kazi usiku na mchana, tuiendeleze nchi yetu. Hayo ya ushoga ukiyachunguza sana, utakuta kila mwanaume naye ni shoga maana kuna siku alikusokea tundu na kutumbukiza sehemu nyingine na ndio maana si vema kuwanyanyapaa wanaojitokeza hadharani na kukili walikosokea kupitia tundu lingine...nafikiri pia ni msimamo wa serikali kwamba Ushoga ni haki ya mtu kula anacho kipenda, serikali ilisema mambo haya miaka ile ya vurugu za mwembe yanga- ruksa. Na ni hii hii serikali ya ccm. Lissu anapitia mule mule...sasa muleteni aje ashirikiane nanyi, tuijenge Tanzania bila kupeana lebel zisizo na style.
 
Yaani kile unaita lebal ndio inatujulisha mtu anataka utumishi wa umma kwa maslahi binafsi tu su kwa maslahi ya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…