Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Serikali iseme ukweli tu, walikubaliana nini na huyu mkulima kule SA.....

Haiwezekani huyu Mkulima Steyn apate uhalali wa kisheria kukamata mali ya serikali ya Tanzania kama hana support ya kisheria....

Na kukamata mali ya mdai, ni ujumbe wa kuitwa mahakamani mkayazungumze na kuyaweka sawa....

Nendeni Canada mkapambane na huyu ndugu na kama mlikubaliana kitu SA na mmepuuza kukitekeleza eti tu kwa sababu mliichukua ndege mikononi mwake, this time mtamlipa tu maana huko ni nje ya Africa....
 
Hivi S.A ata kesi ilisikilizwa si walipoenda mahakamani ikabainika hiyo nchi hawana jurisdiction ya kusikiliza kesi yenyewe na sinema ikaishia hapo hapo.
Wewe unaleta 'version' ambayo hata serikali wataipinga.
Serikali walisema "wameshinda kesi", wewe unakuja na swali la mahakama kutokuwa na 'jurisdiction' juu ya kesi hiyo! huoni kwamba unawapiga dongo serikali?
 
Umetoa wazo zuri lililoshiba.
 
Mwanangu hii bonge la ndonga
 
hukumu haiwezi kukatiwa rufaa katika nchi nyingine hata kama rufaa take ilisikilizwa katika nchi nyingine?
Mbona unajichanganya? Ndio maana umeambiwa Canada kilichofunguliwa ni Excursion ya hukumu iliyopo sio kukatiwa rufaa. Na hukumu ni ileile iliyo amuliwa na mahakama yetu hapa kuwa tumlipe.
Afrika kusini kesi iliondolewa mahakamani kwa makosa ya kiufundi katika kufungua lakini sisi tukarudi na matambo tumeshinda kesi, mabingwa wetu wa ma PhD wamefanya yao na hata bungeni matamko ya kufa mtu yakamwagwa.
End of story, tukalala mradi tumemuona Rais kachekelea.
Mkulima yeye hajalala kaenda kuibukia Canada na angeweza kuibukia Mumbai.
Kabudi aache kumdanganya danganya Rais kwa vile anapenda sifa. Anapomdanganya hamdanganyi Magufuli bali anamdanganya Rais wa JMT hivyo anatudanya kama taifa na ni uhaini huo.
 
Tujiulize kwanza, je huyo mkulima ana tudai?
 
Moja wapo ya ishara kwamba kesi hatukushinda huko Afrika Kusini ni "Kuzuia ndege zisiende huko."
Ile sababu ya 'vurugu' za wakati huo ilikuwa ni gheresha tu.
Kabisa mkuu, na uongo huo watu wakaumeza bila maji.
Hakika hawa waunga mkono na juhudi huu ugonjwa walio nao siku wakijitambua wanaweza kunywa sumu wafe kabisa.
Maana wengine wana elimu zao kabisa!
 
hii kesi tz tunashinda mi najua nikutaka kuisumbua nchi tu.
 

Hamna anayegoma nyie kushinda kesi, bali deni mtalipa ili mjue kutii sheria.
 
Kabudi anatulisha matango pori, huenda South tulishinda kesi ya kuzuiwa ndege tu na sio kuhusu deni, afu hii mikwara yao wawe wanapeleka kwa wajinga, nchi kama Canada wako mbali kwa kila kitu, wanaheshimu utawala wa sheria, hayo maneno aliyomwambia balozi nimepata mashaka na elimu yake. Na huenda hawa ndo wanampotosha rais kwenye ushauri
 
Tuache upofu na kuchekelea kukamatwa Ndege ya serikali.Kazi ya balozi ni kulinda maslahi ya nchi yake,kama kashindwa hilo,ameangukia puwa.
Mbona chanzo cha mgogoro sii Magufuli au Kabudi?
Je Nyerere alifanya makosa kuchukuwa ardhi aliokuwa anamiliki huyo mzungu aliyekuwa anajigamba kuwa ameiweka serikali ya Nyerere mfukoni? Mbona sheria yetu inasema ardhi ni mali ya taifa?
Sasa kama mabeberu nchini mlitengeza deal ili upate cha juu kama ilivyokuwa huko nyuma mkatufanya watu baki.Muda siyo rafiki.
Ni muda wa kujitambua kuwa ni maslahi ya taifa la Tanzania kwanza.
 
Wewe unaleta 'version' ambayo hata serikali wataipinga.
Serikali walisema "wameshinda kesi", wewe unakuja na swali la mahakama kutokuwa na 'jurisdiction' juu ya kesi hiyo! huoni kwamba unawapiga dongo serikali?
Swala sio serikari inasema nini bali facts ya kilichojiri mahakamani.


Mahakama ya huko aikuwa na jurisdiction ya kusikiliza kesi.
 
Nilikuwa sijawaza kuwa na roho mbaya zidi ya watanzania wanao wata kutuhujumu, kwa haya ya leo nimetamani Rais Wetu kuwa dekteta kweli. Hiyo ni huruma yake Rais Magufuli ndiyo inayo msuta.

Naomba hao wahaini watakapo julikana ni kuwafanyika kimoja tu, Process fupi! Kuwakamata na kuwaua mara moja bila kupoteza mda wa kuwafubgulia mashtaka.

Nina uhakika yule mzee mkulima hana lengo la kuihujumu Tanzania, wata kuwa hao hao wana sheria wetu na baadhi ya watumishi wa serikali ndiyo wanao kazania kuturudisha nyuma kama kisasi cha kushindwa kutuibia kama walivyo zoea kama zamani.

Rais Magufuli hauko salama wewe. Kwa hali hii utakuwa umezungukwa na watu ambao mda wowote wakitaka wanaweza waka kudhuru. Una walea wewe mwenyewe!

Huruma yako ya kutaka kupendwa na kila mtanzania ndiyo inayo kusuta. Baadhi yetu hawatakupenda hata mara moja. Na ndiyo hao kama waziri Proff. Kabudi alivyo sema; "hawalali wana kesha kutafuta njia za kuturudisha nyuma". Nina uhakika watu hawa wakishindwa kabisa. Wanaweza wakabaki na Option moja tu, nayo ni kusaka uhai wako!!

Acheni huruma za kitanzania hazita saidia kitu. Hao watu ni kuwamaliza tu punde mnapo wabaini. Hao sio binadam wenzetu ni wanyama. Na kwa wanyama lazima tutumie "methodes of the jungle" kuwadhibiti!

Mimi sioni shida watu kama akina Lissu, Mange Kimabi na wengineo ambao wako nje kuwateketeza. Wasifikiri kwamba wana ulinzi mzuri, mbona ni kitu rahisi sana kuwadhuru!
Angekuwa Rais Putin hapo mbona wange kuwa wamesha ondoka zamani sana.

Zitto Kabwe na watu kama akina Maria Sarungi na wengineo mara kwa mara wanapata mialiko ya kwenda kukutana na viongozi wa vyama Ujerumani na baadhi ya nchi za Ulaya, wanaenda kufanya nini? Na kama nani wao wapewe mialiko hiyo?

Muwe mnamsikiliza sana kauli zake. "Eti tusilaumiane". Mzalendo wa kweli anayeipenda nchi yake anasema kauli kama hizo?

Rais Magufuli nakuomba watumishi wote wa serikali na wanachama wa vyama ambao wanashirikiana na NGOs kuwatupia macho ili kubaini nini kinaendelea. Tuna maadui wengi sana miongoni mwetu.
 
Swala sio serikari inasema nini bali facts ya kilichojiri mahakamani.


Mahakama ya huko aikuwa na jurisdiction ya kusikiliza kesi.

Hii habari inaonyesha kesi iliyotupiliwa mbali (ambayo tunaaminishwa tulishinda) ni ya kukamata ndege, ila sio kezi ya kudaiwa. Kesi ya deni la dola 33,000,000 iko pale pale na nadhani ndio hiyo inatuendesha sasa pale Canada.
 
Kabla hatujafika huko kote mkuu hebu tuambie kwanza,
MKULIMA ANATUDAI AU HATUDAI...??
Ili kama tunakasirika tujue tunakasirika kwa ishu yenye mashiko.
 
Hii habari inaonyesha kesi iliyotupiliwa mbali (ambayo tunaaminishwa tulishinda) ni ya kukamata ndege, ila sio kezi ya kudaiwa. Kesi ya deni la dola 33,000,000 iko pale pale na nadhani ndio hiyo inatuendesha sasa pale Canada.
Kesi ya kukatamata ndege ndio hiyo hiyo ya madai ya hela. Ndege inazuiwa kwa misingi ya ‘lien’ maana yake plaintiff anataka mali yako ikamatwe mpaka utakapo mlipa.

Mahakama ya S.A ilikuwa aina jurisdiction ya kusikiliza kesi kwa sababu atuna makubaliano nayo ya aina hiyo.

Ata hii ya Canada they shouldn’t lose japo huko kuna jurisdiction ya kusikiliza baadhi ya kesi hila sio zote kwa mujibu wa sheria zetu kesi zingine ni domestic especially za ardhi.

Bila ya kuacha kuna mtiririko wa mambo kadhaa ya kisheria yanayotaka kumshirikisha defendant before such actions.

Ni hivi hawa watu washaona serikarini wanasheria maswala ya kibiashara yanawapiga chenga hila hizi kesi za bombardier zote mbili ilikuwa za kushinda na kulipwa sisi fidia that is my take.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…