Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

Wasingeweza kufikia hukumu pasipo Tanzania kuhusishwa. Unless tuambiwe walipuuza tena. Ninachojua mkulima katumia ile hukumu ya mwanzo kukamata ndege. Kumbuka kuwa serikali walienda A. Kusini na excuse kuwa ndege ni ya Rais. Hawakwenda kupambana kwenye kubatilisha hukumu ya mwanzo.
Exactly, tatizo watanzania ni wasahulifu na ndo mtaji wa wanasiasa
 
Ndugu; hilo neno "hila" ulikusudia kulitumia au umekosea?
Yap nilikusudia kesi zingine inategemea sheria ya nchi inasemaje kwanza, kama sheria inasema hilo swala litaamuliwa domestically tu mahakama za kimataifa aziwezi sikiliza hizo kesi (its like a term implied by law into a contract).

Unless

Ndio maana wawekezaji kukwepa huo mtego kwenye mkataba kunakuwa na ‘stabilisation clauses’ moja ya elements zake ni makubaliano baina ya serikari na mwekezaji sheria tata au mpya zenye kukikangana na masharti ya awali hazihusiki na maelewano kesi itasikilizwa wapi, kwa sheria/kanuni zipi ata kama hiyo nchi husika Tanzania aina makubaliano nayo mengine.
 
Kabla hatujafika huko kote mkuu hebu tuambie kwanza,
MKULIMA ANATUDAI AU HATUDAI...??
Ili kama tunakasirika tujue tunakasirika kwa ishu yenye mashiko.
Toka lini mzungu akatudai sisi kwa kumpa fidia kwa ardhi yetu? Unajua hiyo ardhi aliipataje? Unajua jinsi gani alipata mamlaka ya kuitumia hiyo ardhi? Aliinunua hiyo ardhi kutoka kwa Mwalim Nyerere?

Naomba jiulize wewe mwenyewe kama kuna mwafrika amesha ishtaki serikali yoyote ile ya nchi ya Ulaya kwa kutuuza sisi Amerika kama gunia la mihogo? Ukilitambua hilo njoo tena na uniulize tena kama huyo mkulima anatudai au hatudai.

Watu kama nyie sielewi kwa nini mnang'ang'ania kuishi Tanzania kama hamwipendi hii nchi. Kama una shindwa kutoka Tanzania na kuchukua uraia wa nchi nyingine niambie nikusaidie. Lakini waachie watanzania nchi yao. Wewe nenda kaishi huko unako fikiria niger kama wewe watakuthamini.
 
Endelea kumwingiza chaka na wewe ndio adui no wa rais wetu na nchi yetu kuanza kufikiria kuwaua wengine kwa sababu yoyote ni mwanzo wa kaburi lako mwenyewe hautawaweza wote kama wenye mamlaka ni ukoo wa farao endeleeni kujitia upofu
 
Wasingeweza kufikia hukumu pasipo Tanzania kuhusishwa. Unless tuambiwe walipuuza tena. Ninachojua mkulima katumia ile hukumu ya mwanzo kukamata ndege. Kumbuka kuwa serikali walienda A. Kusini na excuse kuwa ndege ni ya Rais. Hawakwenda kupambana kwenye kubatilisha hukumu ya mwanzo.
By Faustine Kapama
tapatalk_1567416785236.jpg
 
umesema mwenyewe kama kesi imefunguliwa upande mmoja Wa jumuiya ya madola inaweza kusikilizwa nchi nyingine ya jumuiya hiyo kama aliyefungua kesi kakata rufaa. sasa hapo tatizo liko wapi? kwani kesi ikiamriwa na nchi moja ya jumuiya ya madola, haiwezi kufunguliwa kwa nchi nyingine tena?

Kwani afrika kusini ,serikali haikushinda kweli? kama ni haki kukata rufaa nchi nyingine yoyote mwanachama Wa jumuiya, uongo Wa Kabudi unakujaje? Hivi kwa mawazo yako Canada itampatia tu hiyo ndege?

Naamini katika uwezo Wa Kabudi na zaidi ya yote Nina imani na nia na dhumuni la Mhe.Rais ,ninaamini Tanzania tuna wanasheria wazalendo na waaminifu wenye uwezo Wa kusimamia kesi yoyote ya kizandiki, kilaghai na kizushi inayofunguliwa mahakama yoyote duniani kwa maslahi mapama ya taifa letu
Hawa ndio wabongo siku zote wanafanana na mbuzi aliyemuona chatu mbele ya macho yake. Wanajipeleka wenyewe kwenye makali ya kisu.

Kwa akili hizi mzungu wala hakupata taabu kumtawala mtu mweusi.
 
Kilatha,
Walisema ndege inatumiwa na rais ndiyo point waliyoenda nayo ndiyo serekali ikashinda acha upotishaji kwamba walishinda kesi
Wewe ndio mpotoshaji. Waliambiwa madai yao waje wayafungue Tanzania na sio South Africa.

Kuna kitu kinaitwa international private laws hizi ni sheria zenye kutofautiana kati ya nchi moja na nyingine.
 
Sio kweli serekali ilienda south afrika kukomboa ndege na sio kushinda kesi

Ndo maana walisema ndege inatumiwa na rais
 
umesema mwenyewe kama kesi imefunguliwa upande mmoja Wa jumuiya ya madola inaweza kusikilizwa nchi nyingine ya jumuiya hiyo kama aliyefungua kesi kakata rufaa. sasa hapo tatizo liko wapi? kwani kesi ikiamriwa na nchi moja ya jumuiya ya madola, haiwezi kufunguliwa kwa nchi nyingine tena?

Kwani afrika kusini ,serikali haikushinda kweli? kama ni haki kukata rufaa nchi nyingine yoyote mwanachama Wa jumuiya, uongo Wa Kabudi unakujaje? Hivi kwa mawazo yako Canada itampatia tu hiyo ndege?

Naamini katika uwezo Wa Kabudi na zaidi ya yote Nina imani na nia na dhumuni la Mhe.Rais ,ninaamini Tanzania tuna wanasheria wazalendo na waaminifu wenye uwezo Wa kusimamia kesi yoyote ya kizandiki, kilaghai na kizushi inayofunguliwa mahakama yoyote duniani kwa maslahi mapama ya taifa letu

Ooh! My....! Unaelewa lakini wewe, kwa kiswahili chepesi mkulima anajaribu kukazia hukumu. Yaani kwa sababu mdaiwa wake amegoma kumlipa, anaomba nguvu ya kimahakama kuamuru mali za mdaiwa wake zikamatwe na ikibidi ziuzwe ili kufidia deni. Amepeleka hukumu mahakamani ili itekelezwe kwa nguvu.

Jitahidini kuwa mnaelewa jambo kwanza kabla kuandika vihoja kwa mihemko isiyokuwa na sababu
 
Kila kitu kilikuwa wazi siku ndege imeachiwa mahakama ya S.A ilisema hawana jurisdiction. Sasa kama hiyo ndio tafsiri ya kushinda hilo ni swala lingine.
"Kila kitu kilikuwa wazi" kwa nani?
WaTanzania hawawezi kusikilza habari za Mahakama ya Afrika Kusini, wakaacha kuamini waliyoambiwa na serikali yao yenyewe, hapa hapa nyumbani; kwamba "walishinda Kesi" na ndege ikaachiwa na kurudi nyumbani.

Hiyo ndio hoja hapa na sio "kila kitu kuwa wazi."
 
Hii mikataba mnayoiongelea ndyo juzi niliona magufuli anahama nayo kuelekea dodoma huku ikiwa imewekwa kwenye maximum security vehicle. Yani zile gar za kusafirishia pesa.
 
G Sam,

Ndege iliposhikiliwa South Africa mlituaminisha kuwa tunaenda kushindwa kwenye Kesi maana mahakama na majaji wa South Africa si
Kama mahakama na majaji
Wa hapa kwetu nyumbani.Yale yote yaliyo tokea katika kesi hiyo sitaki kuyarudia kila mtu ni shahid.sasa mnakuja na hoja na Jumuiya ya Madola utadhani South Africa isn't a member wa Commonwealth.subiri mkulima atapigwa tena kwa nock out na atakuwa mvuvi na sijui mtasemaje? au mtamshauri akafungue kesi tena UN[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Duu mkuu Sisi wakulima wa korosho na ufuta ntwara tunaswali baa
Screenshot_20191124-003428.jpeg
 
Yap nilikusudia kesi zingine inategemea sheria ya nchi inasemaje kwanza, kama sheria inasema hilo swala litaamuliwa domestically tu mahakama za kimataifa aziwezi sikiliza hizo kesi (its like a term implied by law into a contract).

Unless

Ndio maana wawekezaji kukwepa huo mtego kwenye mkataba kunakuwa na ‘stabilisation clauses’ moja ya elements zake ni makubaliano baina ya serikari na mwekezaji sheria tata au mpya zenye kukikangana na masharti ya awali hazihusiki na maelewano kesi itasikilizwa wapi, kwa sheria/kanuni zipi ata kama hiyo nchi husika Tanzania aina makubaliano nayo mengine.

Kwako wewe neno "hila" lina maana gani?
 
Nilikuwa sijawaza kuwa na roho mbaya zidi ya watanzania wanao wata kutuhujumu, kwa haya ya leo nimetamani Rais Wetu kuwa dekteta kweli. Hiyo ni huruma yake Rais Magufuli ndiyo inayo msuta.

Naomba hao wahaini watakapo julikana ni kuwafanyika kimoja tu, Process fupi! Kuwakamata na kuwaua mara moja bila kupoteza mda wa kuwafubgulia mashtaka.

Nina uhakika yule mzee mkulima hana lengo la kuihujumu Tanzania, wata kuwa hao hao wana sheria wetu na baadhi ya watumishi wa serikali ndiyo wanao kazania kuturudisha nyuma kama kisasi cha kushindwa kutuibia kama walivyo zoea kama zamani.

Rais Magufuli hauko salama wewe. Kwa hali hii utakuwa umezungukwa na watu ambao mda wowote wakitaka wanaweza waka kudhuru. Una walea wewe mwenyewe!

Huruma yako ya kutaka kupendwa na kila mtanzania ndiyo inayo kusuta. Baadhi yetu hawatakupenda hata mara moja. Na ndiyo hao kama waziri Proff. Kabudi alivyo sema; "hawalali wana kesha kutafuta njia za kuturudisha nyuma". Nina uhakika watu hawa wakishindwa kabisa. Wanaweza wakabaki na Option moja tu, nayo ni kusaka uhai wako!!

Acheni huruma za kitanzania hazita saidia kitu. Hao watu ni kuwamaliza tu punde mnapo wabaini. Hao sio binadam wenzetu ni wanyama. Na kwa wanyama lazima tutumie "methodes of the jungle" kuwadhibiti!

Mimi sioni shida watu kama akina Lissu, Mange Kimabi na wengineo ambao wako nje kuwateketeza. Wasifikiri kwamba wana ulinzi mzuri, mbona ni kitu rahisi sana kuwadhuru!
Angekuwa Rais Putin hapo mbona wange kuwa wamesha ondoka zamani sana.

Zitto Kabwe na watu kama akina Maria Sarungi na wengineo mara kwa mara wanapata mialiko ya kwenda kukutana na viongozi wa vyama Ujerumani na baadhi ya nchi za Ulaya, wanaenda kufanya nini? Na kama nani wao wapewe mialiko hiyo?

Muwe mnamsikiliza sana kauli zake. "Eti tusilaumiane". Mzalendo wa kweli anayeipenda nchi yake anasema kauli kama hizo?

Rais Magufuli nakuomba watumishi wote wa serikali na wanachama wa vyama ambao wanashirikiana na NGOs kuwatupia macho ili kubaini nini kinaendelea. Tuna maadui wengi sana miongoni mwetu.

Wewe ni kiazi kweli kweli , Mange na Lisu wanausika vipi
 
How old are you??
 
Back
Top Bottom