Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Mkulima Hana Maana Na Hawa Wahuni Wachache Wa Ndani Muda Ukifika Watalaumiana
 
Hivi hao wahuni wa ndani ni kina nani na wanajuwaje siri za ndani ya serikali kuwa tarehe fulani ndege yetu itaanza safari?
Mkulima Hana Maana Na Hawa Wahuni Wachache Wa Ndani Muda Ukifika Watalaumiana
 
Tatizo ni kuwa Serikali nayo inapenda sana kulalamika lalamika. Badala ya kulialia inatakiwa kufanya uchunguzi mahsusi kuwatia nguvuni/hatiani na kisha kuwafilisi matapeli wote waliokula njama wakishirikiana na wageni matapeli kuliibia taifa (enzi hizo) na sasa nchi inaingizwa hasara zisizo za kibiashara? Tunajua jinsi akina 'Wako' wa Tanzania (AG (s). 1990s -2000s) walivyosaini mikataba husika.
 
Haya malalamiko yako fungulia thread yake.
Kwa jinsi wapinzani walivyokosa busara, si ajabu kushangilia shirika la ndege la nchi ambayo wanataka kuiongoza likishindwa kufanikiwa, sasa sijui wapinzani wakishika madaraka ndege hazitakuwepo au hazitanunuliwa kabisa nahisi usafiri utakaotumika ni punda na ungo, Itakuwa Taifa la kishirikina. sijui kwanini ndugu zetu hampendi maendeleo kabisa.
 
Back
Top Bottom