Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Kama vipi serikali itume Wasiojulikana wakampoteze huyu Mkulima anayeturudisha nyuma
 
Mwaka 2017 ilipokamabwa Bombadye kama.alivyoitamka Mh Lissu ndio ilikuwa chanzo cha kupigwa risasi 40 mfululizo. miradi hii ina laaana ya Mungu haitafika popote.
 
Pasipohitajika siasa tuache.
Ingawa Canada hawana mahusiano mazuri na utawala wa USA sasa hivi lakini walisimamia sheria zao na kumkamata Meng ambaye alikuwa anahitajika USA. Soma hapa chini:

 

“Jambo linalosikitisha ndege zilizokuwa zinatoka Marekani aina ya Dreamliner mbili hazikukamatwa zimefika lakini kila ndege inapotakiwa kuondoka Canada tunashangaa hao matapeli wanajuaje na ndege zinakamatwa.”
TUTAJUA MATAPELI NA WAO WANAODAI HAKI YAO AU NI NYIE WA JALALANI. Bado kitambo kidogo tu ukweli utajulikana. Hataki kulipa madeni halafu mnakuja na lugha za jalalani
 
Sasa kinachokufurahisha ninini? kunyonywa unyonywe wewe pesa utoe ww afu ufurahi mtu mwngne achukue mali yako? Nafkiri ubongo wako haujakomaa bado
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Kutakuwa na udhaifu flani kwa serikali ya Canada au hiyo kampuni ya Bombadier,kwa upande wa biashara kampuni ya Bombadier inajitia dosari kubwa sana.Ninaishauri serikali kuachana na Bombadier tuchukue ATR kwani zina tofauti ndogo sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…