Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu

Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
“Ndege yetu ambayo ilikuwa inajiandaa kutoka Canada kuja Tanzania imekamatwa na aliyesababisha kukamatwa ni yuleyule ambaye alifanya hivyo Afrika Kusini na tukamshinda Mahakamani sasa amekimbilia Canada” - Waziri Kabudi

#JPMUapishoMabalozi East Africa TV on Twitter
 
Utaelewa tu mkuu tulia maana mkulima hajawahi kushindwa

“Ndege yetu ambayo ilikuwa inajiandaa kutoka Canada kuja Tanzania imekamatwa na aliyesababisha kukamatwa ni yuleyule ambaye alifanya hivyo Afrika Kusini na tukamshinda Mahakamani sasa amekimbilia Canada” - Waziri Kabudi

#JPMUapishoMabalozi East Africa TV on Twitter
Bwashee toa Maelezo yaliyokamilika!
 
Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi amesema ndege ya Air Tanzania bombardier Q400 imekatwa (ipo grounded) nchini Canada

Source: Mwananchi updates

Screenshot_20191123-101434.jpeg
 
“Ndege yetu ambayo ilikuwa inajiandaa kutoka Canada kuja Tanzania imekamatwa na aliyesababisha kukamatwa ni yuleyule ambaye alifanya hivyo Afrika Kusini na tukamshinda Mahakamani sasa amekimbilia Canada” - Waziri Kabudi

#JPMUapishoMabalozi East Africa TV on Twitter
Taarifa za kizushi na kizandiki.
 
Back
Top Bottom