Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

KUKAMATA NDEGE YETU, NI KUTUFANYIA SABOTAGE
LAKN IFAHAMIKE KWAMBA HAKUNA MAENDELEO AMBAYO HAYANA CHANGAMOTO

I'M SURE UNCLE MAGU ATATUVUSHA KWENYE MTO HUU WA MABEBERU. TUNAMUAMINI
 
Huwa mnasema ndege za magufuli, sasa si tuchangishwe kwa lipi, pambaneni na hali zenu
 
Canada hawawezi kushabikia unafiki dhuluma kisa watakosa soko la Tanzania, Canada wanapenda haki hawataki dhuluma za kishamba shamba toka kolomije

Kama wanafuata sheria walifaa mbona hawajaheshimu maamuzi ya mahakama ya Afrika Kusini, kwani wao mahakama zao ndio zina nini zaidi ya zile za Afrika Kusini, ndio hii dharau dhidi ya sisi Waafrika, yaani mahakama zetu Afrika zinaonwa kama hovyoo.
Hii itakula kwao hao Canada maana hata mataifa mengine ya Afrika yanaona hii dhuluma na wataacha kuagiza chochote huko.
 
ukishazoea biashara za bajaji utachukia sana biashara ya midege.

Ukomo wa kuwaza unalingana na mazingira unayoishi[emoji3]
Hiyo ndege Wai convert huko huko ili huku ije hela tu, ifanye miundombinu itakayonufaisha wananchi wote.

Sio midege inakua mingi wakati asilimia kubwa wanachi hata airport ndani hawajawahi kuingia
 
Wee jamaa, mmewanyooshaje sasa??
Halafu hii lugha ya kuwaita Mabeberu wakati mnaapisha watu wa kutuwKilisha huko kwao sijui inakuwaje
Kama "wao ni mabeberu" ntie ni "manyani" na ukitaka kujua angalia tabia zenu.

Jitu lina sura inashabihiana na "sokwe mtu " alafu linamuita mwenzie "beberu" shame on us
 
Hamna lolote la kuwafanya nyinyi
 
Hizi zote ni juhudi za mabeberu kurudisha nyuma maendeleo ya Taifa letu. Naamini watashindwa na hira zao mbaya.
 
Hivi ukiwa ccm akili zinaenda wapi? Wanashangilia tulishindda Afrika ya kusini. Mlishinda vipi ali hali hamkulipa hela mnazodaiwa? 'DAWA YA DENI NI KULIPA'. Ubabe mnaowafanyia raia wa nchi hii mpaka mnajisahau kuvuka mipaka mtaumia sana.
 
Na simama na mkulima mwenzangu
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Hivi yule mwanaume wa BARRICK anatokea nchi gani?
 
Tokea walipoihama route ya Bondeni nikajua kuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…