Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Canada kabudi hutomboi, hapo mpaka mulipe huyu kabulu, kule south africa mulifanya yenu, canada kuna democracy, tayarise hela ya kaburu
 
Nahisi kuko na namna hii kitu ni mpango wao wenyewe kwa kutafuta zile trip za kwenda kula bata kwa kisingizio cha ndege kukamatwa hizo hasira wanapeleka kwa balozi wetu kanada wakati tuko na ubalozi wao hapa kwanini tusipeleke hizo hasira kwa ubalozi wa canada hapa nchini

Pili Uvifisim wako wapi wafanye maandamano kwa ule ubalozi kama walivyofanya kwa ile ilokamatwa SA
Au wako bize kupiga kura kabla ya muda ili ionekane idadi ya walopiga kura ilikuwa kubwa
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
You are not serious Afunge ubalozi wa wapi???! Unafikiri Canada ni sawa na South Africa mlikowadanganya wakadanganyika
Lipeni deni la wenyewe
Safari hii mtalipa tu
 
Hawezi huko ni maji marefu, hakuna wa kuogopa mimacho yake kule. Pili yeye ni mnobezi kwenye ualimu wa sheria na siyo Mahakamani.

Mahakamani hathubutu tu hata kusimama na John Mallya au Jebra Kambole
Bado nina imani na jopo letu la mawakili, Natumai watashinda hata hili kwani sio mara yao ya kwanza kushinda kesi wakiwa nje ya nchi yetu [emoji123]
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upupu.
 
Kama wanawaogopa wazungu wa bombardier, bado kwa sheria zetu hatuna international agreement za kusikiliza kesi za ardhi nje ya nchi huyo mkulima lazima arudi nyumbani tu kuleta madai yake.
 
Waturudishie ndege yetu, ilikuwa ni kwa ajili ya Makamu wa rais na anaisubiria...
 
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama mkulima wa South!
....hahahaaa we naona unataka kukamata jengo la dom lenye malifutii mawili sasa tutamuagiza mkuu wa wajeda azing'oe halaka tutakua tunapanda kwa kamba!! na ukikua tunakuweka rocap mpaka useme wewe sio mkulima ila ni sarangee 🤣🤣🤣 sarange oyeeeeee
 
Back
Top Bottom