Prof Kabudi ni mtu ambaye ukimwambia aelezee ubora au faida za Nzi ni nyingi kuliko Nyuki anaweza shawishi watu wengi

Prof Kabudi ni mtu ambaye ukimwambia aelezee ubora au faida za Nzi ni nyingi kuliko Nyuki anaweza shawishi watu wengi

Kwa hiyo kwa maneno mengine Prof anaweza kuwa na sifa ya chawa mwerevu.
 
Profesa
Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu.

Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia namna ya kufuga Nzi.

Ndivyo alivyo. Ila kwa yeye kama yeye sidhani kama ana kitu anasimamia. Sidhani. Umri umeenda anaangalia kwa haraka haraka tu ataishije na kustaafu.
Profesa Wa
Majalalani hamna kitu hapo dogo huyu profu aliharibu Heshima yake alipoanza kwenda kinyume na maandishi na matamko yake ya huko nyuma akiwa mjumbe wa tume ya katiba
Kwa hiyo chochote anacnogea Leo haaminiki
 
Nyie madogo sijui kama huwa mnasoma mnaelewa. Sijui. Zamani miaka yetu mtu angeelewa vizuri sana. Sijui Elimu yenu ikoje.
 
Back
Top Bottom