Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Profesa WaNi moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu.
Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia namna ya kufuga Nzi.
Ndivyo alivyo. Ila kwa yeye kama yeye sidhani kama ana kitu anasimamia. Sidhani. Umri umeenda anaangalia kwa haraka haraka tu ataishije na kustaafu.
Nyie madogo sijui kama huwa mnasoma mnaelewa. Sijui. Zamani miaka yetu mtu angeelewa vizuri sana. Sijui Elimu yenu ikoje.Profesa
Profesa Wa
Majalalani hamna kitu hapo dogo huyu profu aliharibu Heshima yake alipoanza kwenda kinyume na maandishi na matamko yake ya huko nyuma akiwa mjumbe wa tume ya katiba
Kwa hiyo chochote anacnogea Leo haaminiki
Mahiga alikuwa vizuri kwa kweli.Sidhani kama anamfikia marehemu Augustine Mahiga...