Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

Tufike sehemu tuache unafiq ,Magufuri si mara 1 wala 2 amesikika akisema kwa kipindi chake mwanafunzi atakaye pata mimba hatarudi shule (ya serikali) labda awe siye yeye madarakani

Kabudi, ww na Elia F Michael ni wanafiq grade 1 kupindisha maneno

je alipo sema hawatosoma shule za serikali ilikuwa sio kuwatenga,ama ndo aliwaunganisha na wazazi wengine huko nyumbani.

acheni unafiq, ilani inasema watarihusiwa kurudi shule magu anasema hakuna kitu kama icho (mkamuunga mkono) leo anabanwa kwa iyo sema mnageuka kutetea et mbona waziri ni mwanamke (rejea bandiko pumbavu(la kijinga ) la elia
kwa hyo ww ulitaka tusomeshe wazaz shuleni sio, s shule zote wtt watabemba mimba sasa, pia nina waswas na uendeshaji wa familia yako kimadili s bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hyo ww ulitaka tusomeshe wazaz shuleni sio, s shule zote wtt watabemba mimba sasa, pia nina waswas na uendeshaji wa familia yako kimadili s bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama unafamilia ama mtu anakuita baba kiukweli ana hasara, nani kakwambia hao watoto wakirudi shule basi itakuwa tiketi ya wote kupata mimba

kama tu kumpa mimba mwanafunzi ni miaka 30 na bado watu wanawati mimba kila uchwao kumzui huyu dada kusoma ni kuongeza wajinga kama wewe

ilani ya ccm imeandikwa na wenye akili na wakaliona hilo na kuwaruhusu kurudi shule ila ww unaleta stori za kibwege hapa
 
Nilimuelewa Kabudi.

Alisema Serikali imeweka mfumo mwingine mzuri wa kuwapatia elimu wanafunzi waliopata mimba na walioshindwa kuendelea na Msingi/Sekondari kwa sababu mbalimbali.

Mfumo huo ni elimu ni mfano Veta na mafunzo ya ufundi stadi kwa ujumla.

Haya mambo yana ugumu gani kueleweka?
Kwa hiyo aliyepata mimba hana haki ya kuendelea na masomo mengine yoyote zaidi ya ufundi stadi na VETA? Mbona watoto wetu wa kiume ambao kuna wakati wanafanya mambo hayo hayo lakini wao hawakumbwi na ubaguzi huo?

Kabudi nadhani ni profesa asiyejitambua. Tukubali, na tuseme ukweli kuwa ubaguzi, mpaka sasa, upo. Jambo la muhimu ni kuona tunaondoka vipi kwenye ubaguzi huu, huku tukilinda nidhamu mashuleni.
 
Magufuli kwa mdomo wake mwenyewe alitamka kuwa kamwe hatasomesha wake za watu, sasa sijui kama hiyo hela ya kusomeshea hao mabinti inakatwa kutoka pension yake. I don't know.

Elimu ni haki ya kila moja na hii iko kwenye katiba na haina masharti, sasa swala la mtu moja kuona nchi kama genge lake la kuuzia nazi ndio ule udikteta tunaouongelea na hatuwezi kukubali huu uchizi
 
Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa.

Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto.

Maendeleo hayana vyama!
Hilo la ubaguzi mbona linafahamika labda Kama lilibadilishwa siku ya jana
 
Wanawadanganya mambo ya Ulaya USA n.k, mtoto wa kike akipata mimba haendelei na shule kabisa, ataacha shule, atazaa, atarudi shule za kufanya mitihani na kuendelea na colleges kwa wakati wake, mzungu hatari, na kama siyo umahiri wa serikali ya JPM leo hii ushoga ungekuwa hadharani, hasa kati ya H Mdee na .....
 
Words matter!! Rais alisema hadharani na kunukuriwa akisema watoto waliopata mimba kamwe hawatarudi shuleni katika muda atakaokuwa Rais.

Dunia ya sasa yenye gender equality, equity na mainstreaming - kauli ya Rais ilipingana na maazimio ya kimataifa ambayo Tanzania imeridhia!!

Mashirika ya kimataifa yako na mataifa makubwa au nchi wafadhili katika mambo ya namna hii. Hawataki kuhusishwa katika ukandamizaji wa mwanamke!!

Lakini ni ajabu pia nchi inayosema sio masikini na uchumi wake unakuwa kwq kasi, kukosa kodi ya kufanya mambo yake yenyewe!! Ni aibu elimu yetu kuonekana inaweza kuharibiwa na watu wa nje.

Ajabu zaidi ni kuwa sasa mabeberu ni watu wazuri!!!
 
KIBUDU CHA JALALANI NACHO KINAIJUA HELA..
Na babo mcheketuke mpaka mjambe. BEBERU Limekandamizia mtazaa na WANAUME mwaka huu. Mammaaeee..!
 
Back
Top Bottom