GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.

Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo

Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako

Pia soma > GE2025 - Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

View attachment 3465122

Wamemtoa jalalani sasa wamemuingiza kwenye kundi la Wahuni.

Yaani huyu Kabudi ni mtu wa kusema haya kweli? Lazima anayasema haya kwa maslahi tumbo.
 
Profesa njaa.

Takataka mkubwa stupid kabisa imebakia huyo mwanamke kumuita Mungu tu hakuna kingine.
Sasa unamtukana Kabudi amekosea wapi kwenye maneno yake au Kuna neno la uongo ameongea?
 
Sasa nimeelewa sababu ya lisu kuiita "professorial rubish" ripoti yao ya makanikia enzi za utawala wa maufuli
 
Kwamba Mungu kakupa wewe peke yako Masikio?
Hicho kipande cha video kilicholetwa hata ukitoa rafsiri yako haina sehemu imesema Rais Samia ni bora kuliko Mwalimu Nyerere zaidi ya kwamba katekeleza yale Baba wa Taifa aliyatamani kuyafanya.
 
Back
Top Bottom