Prof. Kabudi anampongeza Rais kwa njia ambayo hata mimi naweza kuelewa. Siyo kama chawaToka huyu Rais alipoingia madarakani mimi sijamsema vibaya na sijamsema vizuri.
😆😆😆😆😆Professor uchwara, Lizee la Jalalani,
Linaboa sana, na mimacho yake km 💡.
Mxxxiiiiieeeew, 😂😂😂😂😂
Kwamba Mungu kakupa wewe peke yako Masikio?Mleta hoja una shida sana! Bahati mbaya wengine wamejaa ama wameisikiliza na kuitazama hii video hawakuielewa au wameamua kujipotosha! Mbaya sana!
Alichokisema Profesa Kabudi ni; Mhe. Rais katimiza maono ya Baba wa Taifa ambaye aliyatamani kuyafanya. Katoa mfano Bwawa la Nyerere, kuhamia Dodoma nk. Tena akasisitiza huko alipo Mwalimu Nyerere anafurahi.
1.Sasa ni wapi Profesa Kabudi alisema Mhe. Rais Samia kamzidi Baba wa Taifa?
2. Siyo kweli Mwalimu Nyerere alikuwa na maono ya Mradi wa JNHHP na kuhamia Dodoma? Tukosoe kwa hoja siyo chuki na mihemko.
Eti huyu ndio aliyeweka historia Udsm kwa kupiga GPA kali katika kitivo cha sheriaHawa ndo watupeleke nchi ya ahadi? Bado safari ni ndefu.
"Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM mkoani Mbeya.
Deni la Taifa trillion 55+ in 4.8years , ni zaidi ya kupe endelea kutumia matako kufikiriaNadhani huna hoja,maendeleo sio hotuba ndefu zenye bashasha bali ni vitendo mwanana.
Huyo Mama kaweka vitu ambavyo wanaume na ndevu zao walishindwa kutekeleza sababu ya umimi bila busara.
Kaeni na ujinga huo.
4 years in power maamuzi sahihi yanazaliwa na kutekelezwa.
Friendly Warning kwa Mama yetu,dunia ya kiganja haitaji PHD,inahitaji AI.Kila mtu ni sawa kwa uso wa dunia.
Malaya wa kisiasa.Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.
Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo
Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako
Pia soma > GE2025 - Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere
View attachment 3465122