900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Ka bundiMara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.
Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo
Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako
View attachment 3465002View attachment 3465006