uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
mzee anapendeza,hata huwa siamini maneno yake ya kutolewa jalalani."Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM mkoani Mbeya.
View attachment 3464935