The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.
Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo
Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako
Pia soma > GE2025 - Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere
View attachment 3465122
Sasa unamtukana Kabudi amekosea wapi kwenye maneno yake au Kuna neno la uongo ameongea?Profesa njaa.
Takataka mkubwa stupid kabisa imebakia huyo mwanamke kumuita Mungu tu hakuna kingine.
Hicho kipande cha video kilicholetwa hata ukitoa rafsiri yako haina sehemu imesema Rais Samia ni bora kuliko Mwalimu Nyerere zaidi ya kwamba katekeleza yale Baba wa Taifa aliyatamani kuyafanya.Kwamba Mungu kakupa wewe peke yako Masikio?