Daah nimecheka sana😂😂😂😂ILE DAWA YA MADAGASCA IMEANZA KUFANYA KAZI
ILE DAWA YA MADAGASCA IMEANZA KUFANYA KAZI
Hahahaha dahILE DAWA YA MADAGASCA IMEANZA KUFANYA KAZI
Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde bali ilisimamisha shughuli ktk mpaka huo kwa siku tano > Waziri wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufya alisema Rais Edgar Lungu aliagiza mpaka huo ufungwe kuanzia Mei 11, 2020
[/QUOTE
Huyu baba akili zimemruka? Huu ni wakati wa utandawazi kila mtu anapata taarifa Tena kwa wakati.kati ya mtu anayempotosha Mh Rais ni huyu baba.
Ukiokotwa jalalani lazima uwe na akili za jalalani. Waziri wetu anasema "Zambia wamesimamisha shughuli kwa siku tano". Waziri wa Afya wa Zambia anasema Rais Lungu ameagiza kufunga mpaka kuanzia tarehe 11/05/20.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufya alisema Rais Edgar Lungu aliagiza mpaka huo ufungwe kuanzia Mei 11, 2020