Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde bali ilisimamisha shughuli ktk mpaka huo kwa siku tano > Waziri wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufya alisema Rais Edgar Lungu aliagiza mpaka huo ufungwe kuanzia Mei 11, 2020