Prof. Kitila: Amjibu Heche "Uongozi wa nchi sio uji kwamba kila mtu anataka apewa kuonja"

Huyo ni professor njaa , hatumii utashi wake hapo katawaliwa na rushwaa
 
Hizo kura huyo Kitila mchumia tumbo anaweza kuthibitisha kweli kuwa CCM walizipata hadi kuwaweka madarakani?
 
Huyu nae alishakatwa mkia. Kapoteza mwelekeo !
 
Hapo Kenya makada wa KANU walikuwa wanatamba hivi hivi, sasa hivi KANU iko kaburini na Kenya ina uchumi mzuri kuliko wa Tanzania inayotawaliwa na ccm kwa shuruti na umwagaji damu juu.
Familia 12 zinamiliki 40% ya uchumi wa Kenya. Income redistribution ya Kenya haitoi picha halisi ya uchumi wa Kenya.

Unaposoma takwimu za uchumi usiishie kwenye GDP au per capita income. Inabidi uangalie pia na Human Development Index (HDI), Purchasing Power Parity (PPP) na Income redistribution
 
Kitila kwa anayoongea sidhani kama ana Elimu ya uprofesa..

Kitila hata uprofesa wenyewe ni bandia. Pale UDSM, hilo somo la Saikolojia huwa wanasoma wenye uwezo mdogo wa akili, ndilo somo la huyo punguani. Idara ilikuwa haina maprofesa, wakampa ili na yenyewe ionekane ina maprofesa.
 
Ninachowapendea ccm ni kuongea ukweli... Wamekuwa wakirudia kwa msisitizo mkuu!
"Utawala wa nchi hautokani na ridhaa ya wananchi... Bali kwa KURA... Na KURA ni mipango, mikakati, uratibu, zoezi, michakato ya ku-justify ushindi..."
 

Huyu Mzee Tangu vitumilioni vianze kumrembelea amekuwa na dharau sana
 
Kwani uchumi wa Tanzania unamilikiwa ama kugawiwa kwa Watanzania 100%?
 
Utawala bora wa kuiba kura? Na kuteka mix kuua?
 
Kitila hata uprofesa wenyewe ni bandia. Pale UDSM, hilo somo la Saikolojia huwa wanasoma wenye uwezo mdogo wa akili, ndilo somo la huyo punguani. Idara ilikuwa haina maprofesa, wakampa ili na yenyewe ionekane ina maprofesa.
Kuna jamaa mmoja jirani yangu ni Profesa daah ukikaa nae kunadilishana mawili matatu unakili kweli upo na mtu sio huyo mzee hamna kitu kabisaa nimekua na mashaka na Elimu yake muda mrefu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…