Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

Wanafiki ni nyie mnayemuona mkosaji leo baada ya kujiondoa CCM. Kwani huo uchafu huonekana tu pindi wakitoka ndani ya chama chenu?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Na yule mhasibu wa Takukuru ni wa Chadema sio au Leo akitangaza naacha kazi na najiunga Chadema atakuwa mtakatifu! Au vipi?
 
Kitendo cha Nyalandu kujiuzuru akiwa Arusha kimezua hasira kubwa jimboni hivyo kupita kwake itakuwa ngumu. Pia Prof Kitila is better off as katibu mkuu kuliko kuwa ('mchakata domo') mbunge.
Kwamba Kitila akigombea anakwenda na ukatibu mkuu au?
 
Yupo wapi mshindi wa pili wa CCM kura Za maoni zilizompa ushindi 2010? Nadhani angekuwa right candidate wa chama chetu kupambana na Mh. Nyalandu.
 
Nyalandu na kétiila Mukuumbo ni mtu na mtani wake mnyaturu na mnyiramba respectively, mpambano unafanyikia unyaturuni kwa wanyaru wanaojitambua! Wanyaturu wanawadharau wanyiramba kupita maelezo! Hata ikitokea mnyaturu kafa wakilia huwa wanakilaumu kifo kwa kutowatendea haki kwani kilipaswa kumchukua (kumuua) mnyiramba.
Sasa upeleke mtu dhalili kuomba awaongoze watu mahiri! unawatafutia watu lawama.

Kétiila Mukuumbo kama anataka kujua kicheko cha wanyaturu ajichuuze na kuingia kichwakichwa.
Labda aende na wapiga kura wake kutoka zènzèlègè.
Teh teh teh.
N:B Utani sio ukabila.
 
hivii sheria ya ajira inasemaje kuhusu viongozi kama hawa..
kujihusisha na siasa inaswihi?
 
Hivi watu mnapenda kupoteza muda, hivi Kitila(Mnyiramba) anaweza kuwa na uthubutu gani kuwania Ubunge kwenye jimbo ambalo 100% ni Wanyaturu, tena Wairwana? Hivi mnaelewa haya makabila mawili yanavyodharauliana au mnaandika tu kufurahisha genge???

Please take time kujifunza tabia na asili za maeneo mbalimbali kabla ya kuandika chochote....hakuna Mnyiramba mwenye chance ya kuchaguliwa Mbunge kwa majimbo ya Singida Kaskazini, Sgd Mashariki na hata Sgd Mjini...they have ZERO chance, msipoteze muda kujadili vitu visivyowezekana; Jimbo la Sgd Kaskazini ni la Lazaro(Mnyaturu) labda yeye aamue kutokurudi
 
We unategemea nani atasimama..
Unadhani hatua aliyofikia NYARANDU si kukurupuka amejipanga kwa kuwa anajua uchaguzi utarudiwa na anahitaji la kurudisha nafasi yake

Nlikuwa namuongelea Nyalandu na siyo NYARANDU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…