Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni


Huyo mkumbo labda aende kwao ilamba uko kiomboi ndo wanamjua wanyilamba watampa kura singida kaskazini kwa wanyaturu huyo profesor hakuna anayemjua
Wakimpa yeye nafasi ccm watapoteza jimbo,hapo waweke watu waliowazoea asa wale ambao pengine wamewahi chuana na nyalandu kwenye kura za maoni ndani ya chama

Kwa upande wa chadema wasimpe nyalandu kugombea ubunge kwenye hilo jimbo pamoja na kwamba amehama chama ila wananchi wa lile jimbo wamemchoka ata 2015 halishinda kimagumashi sana,alitumia pesa sana ukizingatia jimbo lenyewe upinzani hauna nguvu maana kule ni vijijini wengi wa wananchi ni wana CCM vinginevyo angemwagwa
Maana alichokwa mno katika vipindi vinne alivyokaa kwenye hilo jimbo hajafanya chochote cha msingi
Nenda ilongelo,mtinko,mgoli hakuna lolote,kuonekana kwake mpaka kampeni,wakitaka ushindi chadema wampe mwingine Nyalandu yeye awepo kwenye timu ya kampeni tu
 
Eti Dr Nyalandu, alipata wapi huo u Dr, wacha hizo, Nyalandu hawezi shinda Singida tena kama alijitoa kwa CCM halafu arudi kwa Chadm, haitokei hata, subiria matokeo, hata mm nikishindana na Nyalandu lazima nimvue tuu ila mm kijana mdogo, na sio mwanasiasa.
 
Ndio wakina nani hao wafuia chama? Au!! Na je hao wafia chama wako CDM tu, au? Je na huko wanahamia tu, tena bila kuamia wanapewa ukuu wa mkoa, ukatibu mkuu na mengi mengi, wafia Chama hawapo?
Hapo hata CCM wapo wakina kitikila
 
Umejiunga lini na wewe humu, naona mmetoka fb mnakuja huku.
 
Sina uhakika kama Mnyaturu wa Singida Kaskazini atamchague Mnyiramba wa Iramba Magharibi. Nahisi siasa za kikabila zikaamua mshindi
 
mnyiramba kwenye jimbo la wanyaturu
asahau kabisa
hakuna nafasi hiyo
wanyiramba wanadharaulika sana kwa wanyampaa
 
Mkuu,heshima kwako,Nakubaliana na wewe kwa sehemu fulani ,ila natofautiana na wewe mahali fulani.Umeeleza kuwa jimbo hilo asilimia kubwa ni CCM,sasa hauoni kuwa kwa CHADEMA ni bora kumsimamisha Nyalandu ambaye anamizizi kwa wana CCM anaweza kuzigawanya kura za CCM kuliko mtu hasiye na mizizi CCM ambaye hatopata kabisa za wana CCM unaokiri kuwa ndio wengi jimboni humo?.
 
Nyalandu hakuwahi kuwa na DOA lolote kwenye uongozi wake
Watanzania tuwe na kumbukumbu na pia tuogope kusema uongo.
 
nakuunga mkono.....lingine ni kuwa wanasingida wengi wanaamini kuwa TL alishambuliwa na serikali,na kwamba ,kitendo cha nyalandu kwenda nairobi kumuona TL na baadaye ikasikika kuwa ccm wanampango wa kumfukuza uanachama ....kura zitapigwa za chuki dhidi ya ccm
 

Is Nyalandu a Dr? au wakati anawafanyia mpango wakina Mary Mwanjelwa na yeye alijifanyia hizip Phd za dola 500 za wakina mama Lyakatare. Kwa hawa wawili wote ni weak candidates, si kitila wala Nyalandu mwenye quality za kumuongoza yoyote ndani ama nje ya CCM. Nyalandu mume wa miss Tz anafahamu kabisa kuwa kubebwa kwake na mama mkapa ndiyo qualification yake pekee, wote tunajua ujambazi alioufanya maliasili. Mkumbo alishindwa kupata nafasi hata kwa hao wapinzani wanoonekana kubeba kila mzoga. Wasingida, hawana chao baada ya wao kuingia ubia na CCM wa kutaka kumpoteza Lissu. Yule mama RC wa Kilimanjaro ni juu ya hawa wawili na nyongeza, alipopotea tu ni kuthibitisha kuwa kumbe kama Kitila na yeye alikua pandikizi. Kwa hiyo uwezo anao lakini heshima kwa wasingida hana kwa kuthibitisha umamluki wake. Nashauri wana singida wenzangu wenye uwezo ambao ni wengi tuingie kwenye maandalizi ya kumpata kiongozi mpya nje ya hawa manungaembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…