Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

Nyalandu ile ilikuwa nafasi yake alitoiacha mwenyewe. Sasa ulitaka nani agombee.
 
Toka lini Nyalandu kawa Dr.?
 
Vitu vingine mjaribu kufikiria basi jamani, Unampelekaje Mnyiramba kwa wanyaturu watupu ashinde? Msimuaibishe tena msijaribu CCM na msikie kabisa.Tena huyu Prafesa angeachiwa ashindane na Jumbe tuu anamtosha kabisa.
Kwa Lazaro msimsumbue Profesa bure.

Hilo ameweza Kingu kwakua Mama yake ni mnyaturu, nae ni huruma tu aliyopewa baada ya Nkambaku kuuza jimbo
 
Labda CCM waweke mwenyeji ndio atamsumbua Nyalandu, lakini wapeleke Mnyiramba akashinde huko? Wasahau!
 
Mumeo le[emoji241] hajamboooo[emoji196] [emoji13]

Nakuona unanitafuta... eeeeeh
Sikujua wewe ndio upo hivyo.. hadi imekupelekea kufikiri Mume wangu yupo kama wewe. Pole zako...
Upinzani naona umewaboa nyie wengi.. njoo tushangilie Lori
 

Akiwa kampeni meneja napo sawa tu maana wanaomsapoti watamfuata na kumsikiliza
Maana yangu akiwekwa MTU mwingine ata wale waliomchoka akiwa CCM wanaweza wakamchagua huyo mpya wa chadema kuliko profesa mkumbo ambayo ni wa ilamba hawezi pita kwenye jimbo singida kaskazini ila chadema wasimsimamishe nyalandu kama mgombea maana watasema amelitumikia ili jimbo akiwa ccm miaka 20 hajafanya chochote cha msingi
Je akishinda kwa tiketi ya chadema atafanya nini ?
Kama alivyokuwa kwenye chama tawala alishindwa? Hiyo itamuua nyalandu
 
Nakuona unanitafuta... eeeeeh
Sikujua wewe ndio upo hivyo.. hadi imekupelekea kufikiri Mume wangu yupo kama wewe. Pole zako...
Upinzani naona umewaboa nyie wengi.. njoo tushangilie Lori
Msalimie lee[emoji241]
 
mnyiramba kwenye jimbo la wanyaturu
asahau kabisa
hakuna nafasi hiyo
wanyiramba wanadharaulika sana kwa wanyampaa

Mnyiramba kudharaulika kwa mnyaturu sikubaliani na wewe maana haya makabila ni watani wa jadi afu mnyaturu ndiye anayedharaulika maana mnyaturu shule hana wakati mnyilamba kasoma
Wasomi wengi toka singida ni wa kutoka ilamba maana kule wamisionari ndiko walijichimbia wakaanzisha shule watu walielimika mapema kwa hiyo mnyiramba ni msomi,maprof na ma DR ni wengi na ndio maana wanamdharau mnyaturu
Ila mnyaturu kumdharau mnyilamba sikweli mkuu,mnyaturu kichwani hana shule mwaarabu alimbania kumpa elimu alimwachia dini tu ndo maana utakuta ata mnyaturu aliyesoma ni mkristo
 
Nafikiri mmoja ni mnyirama na mwingene ni mnyaturu. Mtu anayejua historia ya hawa watu anajua tofauti zao
 
Wewe mbuzi Kitila hawezi gombea jimbo asilotoka akashinda, mnyiramba unyaturuni wapi na wapi , hawezi pata labda angekuwa mkazi huko. Ccm wakimuweka Joseph Monko, mkurugenzi wa halmashauri mmoja humu nchini ingeweZa mpa shida Nyalandu.
 
Wanyaturu sio wa hivyo, mnyiramba akagombee ubunge unyaturuni itakuwa kituko. Hapo chama cha kijani wataonekana mambwiga tu, hawaambulii chochote. Mtu kwao!
 
Ccm hawapaswi kumsimamisha kitila, kwa sababu kitila ni mwepesi mno ukimlinganisha na nyalandu
 
U
Upuuzi huo!
 
Kitila atashinda kirahisi sana ....strategically yatakuwa yale yale ya 2015 ....Chadema watatumia muda mwingi kujibu tuhuma za mgombea wao ....hili hawataweza kulikwepa ....Kama kweli Kitila atasimama then ndio mbunge mtarajiwa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…