Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

Kitila ni mnyiramba so hawezi gombea kwa wanyaturu.Hawa watu wana ukabila
Siyo hao tu ata kwenu wasingekubali mgeni aje agombee na mkampa mkamwacha mwenyeji wa hapo
Ishu siyo kuwa kabila la hapo basi uwe ata mkazi wa jimbo husika ata kama kabila lako siyo la hapo
 
Sio swala la ukabila, ni mantiki ya uwakilishi tu; mtu hawezi kutoke popote akadai anaenda kuwawakilisha. Kwa nini asiwakilishe wa kwao?
Kitila ni mnyiramba so hawezi gombea kwa wanyaturu.Hawa watu wana ukabila[/QUOTE
 
Kitila atashinda kirahisi sana ....strategically yatakuwa yale yale ya 2015 ....Chadema watatumia muda mwingi kujibu tuhuma za mgombea wao ....hili hawataweza kulikwepa ....Kama kweli Kitila atasimama then ndio mbunge mtarajiwa ....
Wakati Kitila akimwaga sera wao chadema watakuwa bize na madodoki.
 
Lumumba mmeishiwa.
Dr Nyalandu, khaaa
TEC imetangaza uchaguzi lini?

If wishes were horses
 


Huyu ndiye mtu aliye ijenga chadema jimbo la singida kaskazini kwa zaidi ya miaka kumi Huyu ndiye aliye kuwa mpinzani wa nyarandu jimboni
 
we hujui hata usemacho
Dungunyi seminary iko wapi? kwa wanyiramba?
Diaghwa seminaei iko wapi? lwa wanyiramba?
Nitajie walau wasomi kumi wanyiramba
alafu nitajie umuhimu wao katika nchi
wanyiramba ni watu wenye roho mbaya tu...ndio wanyaturu wanawajua hivo
so take it from me ,,,mnyiramba hata iweje wanyaturu wa Ilongero hawawezi kumchagua
 
WOTE wajipange vyema , "NITASIMAMA NAO "
 
Hii habari ya wafia chama ndiyo nini, unaona mambo anayo fanya Mugabe zimbabwe kisa eti aliipigania nchi kwa hiyo anaona ni bora amkabidhi nchi mkewe.? Aibu. Haya majuzi Museveni naye amewaambia wananchi wake kuwa kama kuna mtu aliwadanganya kuwa mpiganaji huwa anastaafu wasahau habari hiyo . Aibu kubwa.
 
Bado hawa wafuasi wana akili za panzi
 
Vyama vya siasa siku hizi wanajali sana idadi ya wabunge kuliko viwango vya mbunge husika, mtu kama Kitilya atawachanganya tu wananchi wa jimbo lake akipata ubunge badala ya kuwa msaada. Soma mawazo ya kitilya alivyokuwa CHADEMA halafu fuatilia alichokuwa anaamini alipojiunga na ACT wazalendo na umsikilize anachozungumza baada ya kurudi CCM. Mtu kama huyo unaona kabisa focus yake ya maendeleo ina​
 
Hapo ndio naamin vyama vyetu vya siasa viongozi wao wanafikiria kwa makalio badala ya vichwa.... hv mtu kang'atuka hata mwez hujafika then mnampa nafas ya kugombea ubunge ... unazani watajisikiaje wale wafia chama
vipi kuhusu ccm wanafikiria nn Maana hata Kitila alikuwa ACT
 
Hapo ndio naamin vyama vyetu vya siasa viongozi wao wanafikiria kwa makalio badala ya vichwa.... hv mtu kang'atuka hata mwez hujafika then mnampa nafas ya kugombea ubunge ... unazani watajisikiaje wale wafia chama
Mkuu unapaswa kusoma vizuri katiba za vyama ili uelewe sifa za mgombea. Kila mwanachama ana haki ya kugombea pasipo kujali alijiunga lini na chama. Katiba haziko kibaguzi kama unavodhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…