Prof. Kitila Mkumbo kufanya mipango ya miaka 25 bila mawazo ya Diaspora ni kutoangalia mbali

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.

Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.

Hawa diaspora wanaishi kwenye nchi ambazo Tanzania inataka kufikia maendeleo yake, hivyo uzoefu wao ni hazina ya thamani kubwa.
 
Inawezekana una hoja ila inaweza kukosa mashiko, embu elezea huo udhaifu kwanza uliouona ambao unahisi gap lake lingeweza kushauriwa vema na diaspora.

Kwangu mimi, kuwa diaspora has no any meaning kwasababu nobody owns patents to intelligent thinking, kama umenielewa hapo, maana yake hauhitaji kulazimika kushauriwa na diaspora (hii haina maana kwamba mawazo yao yasisikilizwe)
 
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.

Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.

Hawa diaspora wanaishi kwenye nchi ambazo Tanzania inataka kufikia maendeleo yake, hivyo uzoefu wao ni hazina ya thamani kubwa.
Hiyo document ina issue gani kama kila Rais anakuja na mitazamo yake kuhusu siasa, uchumi na jamii...

Utakuwa unaiona kila baada ya miaka 10
 
Hao wanaodeki vyoo na kusafisha wazee na mitaro mabarabarani?
 
Back
Top Bottom