miaka 19 jf ila unaandika Hovyo sana
iweke vizuri basi ili na wengine waone presentation yako, vinginevyo, wewe na yeye mtakuwa sawa tu.miaka 19 jf ila unaandika Hovyo sana
Inawezekana una hoja ila inaweza kukosa mashiko, embu elezea huo udhaifu kwanza uliouona ambao unahisi gap lake lingeweza kushauriwa vema na diaspora.Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.
Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.
Hawa diaspora wanaishi kwenye nchi ambazo Tanzania inataka kufikia maendeleo yake, hivyo uzoefu wao ni hazina ya thamani kubwa.
Hiyo document ina issue gani kama kila Rais anakuja na mitazamo yake kuhusu siasa, uchumi na jamii...Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.