Prof. Kitila Mkumbo: Ushauri wa Kishujaa umesababisha Tanzania ishtakiwe katika Mahakama za Kimataifa. Wasomi wetu waliwadanganya Viongozi

Lying is just taking advantage of present time(s), situation and circumstances to hide the truth, yet it is risk in the future when those circumstances, time and situation have changed or no longer exist.
 
Ushaur wa Kishujaa👇
 
Kwangu Mimi alichokifanya ni mara 1000 kuliko hasara za uwekezaji tunazozipata Kwa kulipa fidia. Kwa mfano: pale merelani takwimu zilikuwa zinasema kwamba muuzaji mkuu wa madini ayo Ni India inafuatia Kenya na Tanzania ilikuwa Kwa mwaka inapata pesa hisiyozidi billioni kama Kodi.

Migodi yote mikubwa ilikuwa inasafirisha madini nje ya nchi bila kufanyiwa uhakiki na ilikuwa inafanya hivyo kutokana na mikataba kwamba madini yakishachibwa serikali haitahusika katika kuhakiki lakini Leo migodi yote madini uchukuliwa plant ikiwa inafahamika kiwango cha uzito mbele ya polisi,afisa madini,tisi na muwakilishi WA migodi.

Migodi Kwa sasa inalazimishwa kuajili wazawa Kwa kila sekta hispokuwa wataamu muhimu kutoka nje na Kwa sasa pia masoko yapo nchini kila wilaya yanayosaidia kuondoa waliokuwa wanapeleka ajila Kenya.

Lakini jaribu kufuatilia kiwango cha uzalishaji na mapato kabla na baada ya marekebisho ya Sheria za madini, Kwa sasa wachimbaji wadogo wamerasimishwa na wanalipa Kodi hawafukuzwi tena kama zamani .

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni magufuli amebadilisha fikla na mitazamo ya walio wengi japo mengi aliyafanya Kwa kutumia common sense ambayo alifanya Kwa kuamini Bora lawama kuliko fedhea.
 
Hasara zilikuwepo nyingi.

Bado safari kama hii waliyotumia ndege ya serikali kufuata dawa walizoishia kunywa wao wawili na tukadanganywa zilizopo zinapelekwa kufanyiwa tafiti na hadi leo yapata miaka 3 hakuna matokeo ya hii juice ya Antananarivo.

Watu kumfurahisha mtu wakasema

"Hii Madagasacar Rais anagawa mwenyewe mtaani"

Hasara tupu.
 
Tumechagua/tumesaidiwa kuchagua, wamejichagua.


Viongozi/watawala ambao hatuwezi kuwawajibisha Kwa namna yeyote Ile.
 
Kheee..!!! Si angesema tu hawakufuata ushauri wa Lisu..!!
 
hivi munajifanya hamukuona yaliyokuwa yanatendeka kwa wale waliokuwa wanakosoa serikali? Mfano T. Lissu.
 
Hayo makampuni yalingoja mpaka mwamba aondoke ndio wafungue mashtaka ya kuvunja mikataba ya madini ??!! Wakati akiwa Hai aliyevunja mikataba walikuwa wanamuogopa kumshitaki ??!! Ukistaajabu ya Musa ……….. !! Michongo inakuja !!
 
Wabaya wa Tanzania sio makampuni ni watanzania wenyewe,umshitaki mtu ambaye bado unamhitaji kuchota Mali kwake na kuneemeka!!!mwenye kichwa kibovu ndo anaweza kuamini. Wapo watanzania nyuma ya haya makampuni .
Inaandaliwa michongo hapo ya kupiga pesa !! Nobody cares !
 
LISSU alishauri akaonekana msaliti!! Hakuna kitu kibaya kweny maisha kama kupenda sifa! Utajaza circle ya wasifiaji ili wapate kula na chaka watakuingiza!!
 
Masikini Kitila! Utawaambia nn walinda legacy wenzako?
 
Tundu Lisu alisema live bila kupepesa macho, alijaribu kuishauli vizuri sana serikali ya Magufuli lkn badala yake wakamgeuza mbuzi wa kafara kwa ujinga waliokuwa wanaufanya.Wakaona zawadi yake ni Risasi za kutosha.

Wangemsikiliza kama mtaalamu wa sheria au hata kumshirikisha katika Mchakato wote angeleta tija kubwa sana kwa Taifa letu.

Aproach ya Magufuri ilikuwa nzuri sana lakini great thinkers hakutaka kuwashirikisha kwenye Movie yote badala yake akaona atumie watu wa PRAISE & WORSHIP wakampa matokeo mabovu kwelikweli aliyoyataka yeye.
 
hivi munajifanya hamukuona yaliyokuwa yanatendeka kwa wale waliokuwa wanakosoa serikali? Mfano T. Lissu.
Tuliona. Lakini Kitila alikuwa yuko mstari wa mbele kusifu na kuponda waliokuwa wanakosoa. Mimi mtu kama Kinana sasa hivi angesema maneno haya nisingeandika hivi kwani angalau alionyesha kuwa hakuunga bogi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…