Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa sababu huna uelewa wowote kuhusiana na masuala ya madini wala sheria.Lisu naye alitaka pesa za wazungu tu hakuna la maana
USSR
Tumeshtakiwa na makampuni matatu, na hakuna hata kesi moja tuliyoshinda. Tumewabembeleza warudi, tuwape maeneo waliyokuwa wanafanyia kazi, wamegoma. Wanasubiria kukamata mali zanTanzania ziluzopo nje kama hatutawalipa kama mahakama ilivyoamuru.Sikiliza hoja ya kijani mwenzio ndipo uje tena, je tulishtakiwa au hatujashtakiwa?
Lissu aliwatahadhalisha mapema mkamtwanga risasi back mkaja humu ndani kudanganya umma kwamba hatujashtakiwa sasa leo mnaumbuana wenyewe. Oneni hata aibu!
Tazama records ya Uuzaji madini kwa Tanzania. Mwaka 2019 ndio tuliuza dhahabu nyingi tani 55 kwa mwaka, leo tumeshuka hadi tani 43 ni sababu gani ikiwa sheria ni zile zile mbovu..Ni kwa sababu huna uelewa wowote kuhusiana na masuala ya madini wala sheria.
Yale mambo yalikuwa ya kipumbavu kabisa. Ndiyo maana baadaye ikabidi wao tena wawe watu wa kuwabembeleza Barrick ili wasiabike.
Hiyo ndiyo sababu mkataba ule wa Kabudi na Barrick, ni wa hovyo kuliko hata uliokuwepo awali ambao ulikuwa unaipa Serikali mamlaka ya kuingilia baadhi ya mambo, na ilikuwa na uwezo wa kuishtaki kampuni au kukata rufaa kama Serikali haikurudhika na maamuzi ya mahakama. Leo hata kufanyike nini, mkataba unasema ni marufuku Serikali kuzuia uzalishaji au export ya dhahabu. Mahakama ya biashara ya Singapore ikiamua, ndiyo uamuzi wa mwisho, na hairuhusiwi kukata rufaa.
Yeye alikuwa mbaya na hakupenda ushauri. Mshauri mkuu alikuwa musiba na bashiteUjamaa na waamini wa ujamaa ni watu hatari sana, ubabe wa kijinga na hii bado upo sana.
Ila viongozi wa Africa ni watu hatari sana wakikuzunguka... bahati mbaya sana Magufuli hakuwajua wabaya wake.
Walikuwa wanamchekea huku wanafurahia perdiems..
Mi nilidhani kijani wote.
Conspiracy theory ni ile unaambia rais amekufa kwa ugonjwa wa moyo au Covid. Mkuu tuna Uhuru wa habari na haki ya kuijeleza.
Ni kweli lawama zipo kwa Mzungu kwa sababu sisi ni kama mwanamke Malaya, siku zote ushawishi wa mqanamme ndio humfanya akatembea nje ya ndoa, japo mmewe pia anaweza kuwa na mapungufu yake lakini hampi haki ya kutembea nja ya ndoa.
Serikali hii awamu ya sita, wanajua wazi kilichitokea na nsio maana sasa hivi ni KANYAGA TWENDA. Zinatumika kila mbinu kumfunika JPM wakati hakuna sababu ya maana.
Kama tumeamua kurudisha diplomasia na mabeberu sii waseme tu kuna haja gani ya kumzungunzia Magufuli. Hata wakati wa Nyerere, alipokufa bdio habari nyingi za kupinga Ujamaa lkn lipi jema tulofanya baada ya kumshutumu yeye?
Na iweje leo hii hotuba zake ndio zinashika mitazamo ya kila mwana siasa nchini! Je, Ule ubaya wake umeishia wapi?
Duu hii hasara Sana kwa taifa iliyotokana na upumbavu wa washamba fulani wazee wa legacy.Tumeshtakiwa na makampuni matatu, na hakuna hata kesi moja tuliyoshinda. Tumewabembeleza warudi, tuwape maeneo waliyokuwa wanafanyia kazi, wamegoma. Wanasubiria kukamata mali zanTanzania ziluzopo nje kama hatutawalipa kama mahakama ilivyoamuru.
..Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Hujielewa wala kujitambua.Wabaya wa Tanzania sio makampuni ni watanzania wenyewe,umshitaki mtu ambaye bado unamhitaji kuchota Mali kwake na kuneemeka!!!mwenye kichwa kibovu ndo anaweza kuamini. Wapo watanzania nyuma ya haya makampuni .
Hizo ni kesi za makampuni kufutiwa leseni zao Retention, kwenye madini. Leseni waliwapa wenyewe halafu, siku moja kwa upumbavu tu wakatangaza kuwa eti Tanzania imefuta leseni za retention, na maeneo yote ambayo yalikuwa na Retention licenses ambayo yalikuwa yamefanyiwa utafiti wa madini na makampuni hayo ya nje, tena kwa gharama ya mamilioni ya dola, sasa yamekuwa ni mali ya Serikali.Ni muhimu kwanza kutambua kesi hizo 7 ni za madai gani? Kama mtakumbuka ndege yetu ilizuiwa Canada na South kwa madai ya mwaka 1974. Je, hilo lilikuwa kosa la nani?
Kabudi alisema hizo 191 billion Usd hazikuwa kweli ila ilikuwa mbinu ya mazungumzo.....labda kuwatia wenge wazungu ili walainike...hata Magufuli alitufanya nyumbu.
..kama wawekezaji walikiuka mikataba alitakiwa akimbilie mahakamani.
..alisema ana ushahidi wa madai ya usd 191 billion dhidi ya Acacia/Barrick kwanini hakwenda kushitaki, badala yake akapokea kishika uchumba usd 300 million?
..uwezekano mkubwa alihongwa.
..Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Ebu zitaje zote au tupe site za madai hayo?Hizo ni kesi za makampuni kufutiwa leseni zao Retention, kwenye madini. Leseni waliwapa wenyewe halafu, siku moja kwa upumbavu tu wakatangaza kuwa eti Tanzania imefuta leseni za retention, na maeneo yote ambayo yalikuwa na Retention licenses ambayo yalikuwa yamefanyiwa utafiti wa madini na makampuni hayo ya nje, tena kwa gharama ya mamilioni ya dola, sasa yamekuwa ni mali ya Serikali.
Wote wanakuwa na akili wakiwa nje ila wakiwa mle nausomi wao wanasahau kuwa wao ni watu km hao boss zao kila dk ni kusifia tu mtu asichanganyikiwe ajione yy zaidi ya mungu hata mie nakuwa juu ya mungu..Prof.Kitila anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
..Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Ina maana hata kile cheti alichopewa baada ya kazi nzuri ya tume yake alikichana au hakushiriki kwenye yale mazungumzo ?Prof Mruma mnamwonea.
Kamati ya madini ya Mruma iliandika report ya kitaalam ambayo ilieleza wazi kuwa hakuna tunachoibiwa, na taarifa ya Acacia iliyopelekwa Serikalini kuhusiana kilichomo kwenye makinikia mi sahihi.
Baadaya report hiyo kupelekwa ikulu, watu wa TISS waliirudisha kwake na akaamriwa aibadilishe. Haiwezekani report iseme hatuibiwi wakati Rais amekwishawaambia wananchi kuwa tunaibiwa. Maskini Mruma hakuwa na namna, na maisha bado anayapenda. Akaibadilisha iendane na matakwa ya Rais.
Mpaka leo, Prof. Mruma anaeleza wazi kuwa anakereka sana akiikumbuka report ile, na kitendo cha baadhi ya watu kumwita profesa wa makinikia.
Na anasema kuwa aliiandika kwa namna ambayo kila mwenye uelewa wa masuala ya madini, aelewe kuwa amelazimishwa, yaani aliifanya report kuwa ya kienyeji sana ili wenye akili watambue kuwa amelazimisha. Aliisoma huku wakati wote akitetemeka.
Symbion walishtaki sasa hivi wamerudi mtamboni kuzalisha Umeme na sii ajabu hata IPTL umerudi kinyemela..Hujielewa wala kujitambua.
Ni kampuni gani ya nje iliyoishtaki Tanzania halafu bado ina hamu ya kuendelea kuchota mali za Tanzania? Ninyi ndio mnaojidanganya kuwa eti sisi ndiyo tuna madini mengi ya thamani kuliko nchi yoyote wakati hakuna hata aina moja ya madini ambayo sisi ndiyo tuna reserve kubwa kuliko nchi yoyote Duniani. Madini yote tuliyo nayo ni kwa kiasi kidogo kidogo.
Wajinga utawasikia tuna tanzanite sisi pekee yetu, hawajui kuwa tanzania ni saphire, yenye vanadium. Na saphire zipo kwenye mataifa mengi. Tanzanite ni gemstone, ni jiwe la mapambo ambalo hata lisipokuwepo hakuna kitachoathirika kwenye maisha ya mwanadamu.
Makampuni yote yaliyoishtaki Tanzania yalikwishaondoka nchini, yamebembelezwa yarudi, yafute kesi, yamekataa. Hapo tunatakiwa kulipa fidia approximately a trillion kwa yote matatu.
Wewe unaongelea hisia badala ya kuongelea ukweli.Ni hivi ngoja nikuambie Africa tunafanywa nyumbu na watu weupe Kwa Sababu nimemshuhudia moina mara kadhaa analalamika serikali au wasomi wetu kushindwa kuchukua hatua za kuwalipisha wawekezaji Kwa ucheweleshaji miradi au kufanya kinyume cha mkataba.
mambo haya ni Kwa Sababu ya tunaamini kumpiga faini mwekezaji ni kumfukuza lakini wanatufanyia Mambo ya ovyo sana na unyanyasaji Kwa Sababu hatuna wataalamu.
Magufuli namtolea mfano hapa kwamba yeye kama mwanadamu alikuwa anaumia kuona watanzania tunafanywa kama wajinga japo mikataba tuliyoingia nayo hizo kampuni ni ya kinyonyaji.
Ni Sawa na umempangisha mpangaji kwenye nyumba unayoishi alafu amekulipa Kodi ya mwaka alafu anafanya matendo ambayo yanakuudhi Ila ukivunja mkataba unatakiwa umlipe fidia na ukimuacha anazidi kukuharibia familia anatembea na mkeo na watoto hivi utasubiri mkataba uishe au utafukuza kulinda hadhi yako.
Mikataba mingi ya madini Ni ya kinyonyaji na moja ya masharti ya unapomlazimisha au kumshawishi mwekezaji ni kwamba mikataba itakuwa ni Siri haiwekwi hadharani wala kujadiliwa .
Jambo ili serikalini hawataki kuliweka wazi lakini ndio ukweli kwamba wawekezaji wanatoa sharti kwamba kama unataka niwekeze Tanzania mikataba haitojadiliwa mpaka tutakaposainishana wakilenga kwamba kitendo cha kujadiliwa na WANANCHI kutaleta sintofahamu au kukataliwa .
Wabongo tumeongozwa na rais kanywa maji ya kikombe cha maji ya babu unategemea nini mkuu?Ina maana hata kile cheti alichopewa baada ya kazi nzuri ya tume yake alikichana au hakushiriki kwenye yale mazungumzo ?
JokaKuu zitto junior Kiranga
Ebu zitaje zote au tupe site za madai hayo?
Ninyi ndiyo wenye vichwa vya kufugia nywele tu! Kwani hao mnaowaita mabeberu walishtaki kwa kutumia masharti yaliyowekwa na nani? Mikataba waliyosaini iliandaliwa na nani?Wabaya wa Tanzania sio makampuni ni watanzania wenyewe,umshitaki mtu ambaye bado unamhitaji kuchota Mali kwake na kuneemeka!!!mwenye kichwa kibovu ndo anaweza kuamini. Wapo watanzania nyuma ya haya makampuni .