Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!
1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?
2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world
www.jamiiforums.com
1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?
2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world
Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewataka wale waliokuwa wakipinga mkataba wa uwekezaji wa kampuni ya DP World katika Bandari ya Dar es Salaam kujitokeza hadharani ili kukiri mafanikio yaliyopatikana kutoka na uwekezaji huo. Prof. Kitila ametoa kauli...