johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapo Kenya Gachagua keshaondoka wanarudi kwenye Vita ya Mafisadi 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi laiti wangepewe/pata nafasi ungeshangaa Roma imejengwa kwa siku Moja🌑Wewe mwenye elimu bora ambayo sio ya nchi hii umesaidia nini??
Yani hauna hata uchungu na nchi yako,kweli unauliza swali kama hilo duh wewe una lako jambo si bure,haujui kwamba mwananchi ndo mmiliki wa nchi??Hizo ni siri za biashara uambiwe wewe kama nani kwenye hii biashara?
TNina dhana inayo fafanua maana ya unyumbu wa kisiasa, nitakuwa nairudfia kuitambulisha kwa faida ya jamii kuweza kupata ufahamu kuhusu kuahirisha kufikiri
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi ama uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data.
CCM imetufikisha hapa kutokana na tabia hii ya unyumbu wa kisiasa inatumika na washika tonge, hawa washika tonge, wakigundua unataka kuwanyang'anya tonge wanakushughulika, (ostracism)
Human herding in politics-unyumbu wa kisiasa
Human herding in politics, is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering and working towards group objectives, or fear of their leaders, (hypocrite)
Politicians practice human herding in politics to remain in power, cemented with ostracism
Hawa ma prof nimekuwa nawasikiliza sana tena kwenye vitu ninavyo fahamu, (kwa kina), hadi unabaki unashangaa ndiyo hapo nikagundua kwamba kumbe wanapokuwa wanasiasa huwa wanaahirisha kufikiri kwa nafsi.T
Tanzania maprofesa ni wachache mno, the best pro ni shiviji, MWANDOSYA, nk ila wengi ni kama dada la saba tu
Huyu Propesa wanaomfahamu akiwa KM Wizara ya Maji nyakati zawendakuzimu wanasema alikuwa mzuri sana. Sasa ameamua kuwa CHAWA. Ovyo sana sana!Ndo maana wazazi mda mwingine ni bora kufuga NGURUWE Kuliko kusomesha mtoto, mtu anasoma apishana na maana ya elimu ni kumkomboa mtu, kuwa na critical thinking.
Huyo prof kifupi ni mpuuzi , na mwakani asahau UBUNGE Jimbo la ubungo.
Ndani ya chama hapiti, ikitokea kapita kwa wapiga kura hatochaguliwa!
Kila mtu Sasa kawa Mpumbavu, Idadi ya MAPUMBAVU Inaongezeka!!!
I short kitila ana ACCADEMIC ARROGANCE 🤣😃😃
Share hili andiko tuongeze maarifaNina dhana inayo fafanua maana ya unyumbu wa kisiasa, nitakuwa nairudfia kuitambulisha kwa faida ya jamii kuweza kupata ufahamu kuhusu kuahirisha kufikiri
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi ama uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data.
CCM imetufikisha hapa kutokana na tabia hii ya unyumbu wa kisiasa inatumika na washika tonge, hawa washika tonge, wakigundua unataka kuwanyang'anya tonge wanakushughulika, (ostracism)
Human herding in politics-unyumbu wa kisiasa
Human herding in politics, is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering and working towards group objectives, or fear of their leaders, (hypocrite)
Politicians practice human herding in politics to remain in power, cemented with ostracism
Hapo wanasema Gati Namba 4 hadi 7......sio kweli....DPW.....wamechukua gati zote kuanzia Gati 0.......tumekuwa mazuzu sana......tunadangawa kirahisi sana. 😀 😀Wewe nyumbu Achaga ujinga,wakati Serikali inajadiliana na DP World Hadi kusaini mkataba ulikuwa busy kuropoka na kueneza uzushi bila kufuatilia mantiki ya jambo lenyewe.
Sasa unaturudisha nyumba wakati tulishamaliza na Sasa tunakula matunda.👇👇
View attachment 3141211
Mwisho hapo bandarini Yuko pia Adani ila Mko busy na DP World kisa chuki binafsi Kwa mwaarabu.
Unfortunately biashara haihitaji chuki.
Berth 3 za mawazo zilikuwa za kumpima ila anasimamia gati 7,hata hivyo walisema wanaweza kumuongezea gati zingine kulingana na ufanisi.Hapo wanasema Gati Namba 4 hadi 7......sio kweli....DPW.....wamechukua gati zote kuanzia Gati 0.......tumekuwa mazuzu sana......tunadangawa kirahisi sana. 😀 😀
Sawa ninalo lingine na kuhusu uncertainty, (changamoto), kumbe changamoto nyingi tulizo nazo zinasababishwa na binadamu kwa uchache sana zina sababiashwa na majanga na habari, (information).Share hili andiko tuongeze maarifa
Huyu profesa wa kutoa ushauri nasaha kwa vichaa wa Mirembe na mambo ya uchumi wapi na wapi?Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!
1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?
2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world
Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewataka wale waliokuwa wakipinga mkataba wa uwekezaji wa kampuni ya DP World katika Bandari ya Dar es Salaam kujitokeza hadharani ili kukiri mafanikio yaliyopatikana kutoka na uwekezaji huo. Prof. Kitila ametoa kauli...www.jamiiforums.com
Uchungu tena, unahusu nini?Yani hauna hata uchungu na nchi yako,kweli unauliza swali kama hilo duh wewe una lako jambo si bure,haujui kwamba mwananchi ndo mmiliki wa nchi??
Uchungu tena, unahusu nini?
Kama huujuwi uchungu kamuulize mamako kama alivyokuzaa hajakuzaa kwa kuchanwa tumbo. Ukisikia kakuzaa kwa kuchanwa tumbo, utajaza codes mwenyewe.
AlhamduliLlah sijawahi kuzaa kwa mkasi. Naujuwa uchungu vilivyo. Mpaka na u miss.
Naam, alikuwa critical sana! Basi mamlaka yanawaharibu sana watu wakakengeuka!!Huyu
Huyu Propesa wanaomfahamu akiwa KM Wizara ya Maji nyakati zawendakuzimu wanasema alikuwa mzuri sana. Sasa ameamua kuwa CHAWA. Ovyo sana sana!
Naam, alikuwa critical sana! Basi mamlaka yanawaharibu sana watu wakakengeuka!!Huyu
Huyu Propesa wanaomfahamu akiwa KM Wizara ya Maji nyakati zawendakuzimu wanasema alikuwa mzuri sana. Sasa ameamua kuwa CHAWA. Ovyo sana sana!
Ukitumia jicho la tatu kumbe tatizo ni jamii yetu ya ya kanyaga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata mawazo chanya na hasiYaani siku hizi machawa ni kama vichaa hata vitu vya msingi hawavioni. Usiwalaumu ni watu wapotevu wa kuwaombea.
Ukitumia jicho la tatu kumbe tatizo ni jamii yetu ya ya kanyaga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata mawazo chanya na hasi
Haya ni mambo ya ajabu sanaKinachoshangaza kuchelewa kwa meli kushasha konteina kuko palepale kuna meli ziliwasili tarehe 21/10/2024 leo tarehe 2/11/ bado hazijashusha mzigo yaani siku 10 toka meli iwasili haijapata nafasi ya kushusha, bado mtu anasimama kuwatetea hao DPW.
We lofa unaotaKinachoshangaza kuchelewa kwa meli kushasha konteina kuko palepale kuna meli ziliwasili tarehe 21/10/2024 leo tarehe 2/11/ bado hazijashusha mzigo yaani siku 10 toka meli iwasili haijapata nafasi ya kushusha, bado mtu anasimama kuwatetea hao DPW.