Prof. Kitila na Machawa, jibuni maswali haya mepesi kuhusu DP World

Prof. Kitila na Machawa, jibuni maswali haya mepesi kuhusu DP World

Hakuna utani hapo, kuna Kiswahili.

Kama unaweza panda juu nenda ukazibe.
Hawa chawa wa CCM wajifunze kilichotokea kwa majirani zetu week hii Chama tawala kwa zaidi ya miaka 58 madarakani kimedondoshwa katika kura na sasa ndio kwa heri. So it is a matter of time also for this group hapa kwetu
 
Faiza acha kuleta mzaha kwamba uchungu wa nchi na wakuzaa ni sawa? unatetea uharibifu.?
Hakuna utani hapo, kuna Kiswahili.
Nyie fanyeni uchawa Mama yuko na family yake USA wanatafuta deals 😂 Yaani ukiwa na deal Abdul anapokea simu
Kama unaweza panda juu nenda ukazibe.
Hawa chawa wa CCM wajifunze kilichotokea kwa majirani zetu week hii Chama tawala kwa zaidi ya miaka 58 madarakani kimedondoshwa katika kura na sasa ndio kwa heri. So it is a matter of time also for this group hapa kwetu
Ilianza AA ikaja TAA ikaja TANU sasa CCM, kitakuja na kingine tu hilo usiwe na wasiwasi nalo kabisa.

Waanzisha vyama wanaondoka itakuwa vyama ?
 
Hayo maswali ni magumu hakuna wa kukujibu. Halafu Mimi huwa nawashangaa wale wanaoiamini CCM .
 
Hapo ndipo utaona kuwa elimu ya nchi hii ni bure kabisa.

Profesa anaongea pumba kuzidi pumba za Steve Mengele (kilaza wa darasa la 2).
Huyu Steve ni yule amepigwa marufuku kutumia jina? Kumbe ni darasa la 2 B?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!

1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?

2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world

Kwani mkataba wa TICTS na TPA ulikuwa ni wa miaka mingapi?, mbona mwaka 2020 walivunjiwa huo mkataba?.

Kwani hao TICTS miaka ile walipokuwa wakiiendesha TPA walikuwa wanapata vipi mapato yao?. Mgawanyo wao ulikuwa vipi na serikali waliyoingia nayo mkataba?.

Badala ya kuwauliza watumiaji wa bandari tofauti ya uendeshaji uliopo hivi sasa na wakati ule bandari ikilalamikiwa kwa uzembe mpaka ikapoteza wateja kwa maelfu leo tunaendeleza upuuzi ule ule wa majungu na wivu wa mitandaoni!!?.
 
Wewe nyumbu Achaga ujinga,wakati Serikali inajadiliana na DP World Hadi kusaini mkataba ulikuwa busy kuropoka na kueneza uzushi bila kufuatilia mantiki ya jambo lenyewe.

Sasa unaturudisha nyumba wakati tulishamaliza na Sasa tunakula matunda.👇👇
View attachment 3141211

Mwisho hapo bandarini Yuko pia Adani ila Mko busy na DP World kisa chuki binafsi Kwa mwaarabu.

Unfortunately biashara haihitaji chuki.
Kwa taarifa yao ni kwamba huyo Adani ndiye anayeendesha magati yenye faida zaidi kuliko DPW, lakini wabongo kwa sababu vichwa vyetu vinakaririshwa upuuzi tumejikita kumuongelea zaidi DPW na kupoteza nguvu na muda wetu mwingi bila sababu.
 
Yani hauna hata uchungu na nchi yako,kweli unauliza swali kama hilo duh wewe una lako jambo si bure,haujui kwamba mwananchi ndo mmiliki wa nchi??
Wewe mwenye uchungu na nchi hii umeifanyia kipi cha maana zaidi ya kulialia tu mitandaoni?.
 
Ndiyo maana Rais Mpya ( Mteule wa Botswana) aliwahi kuwaita Wahadhiri wa nchini kwake kuwa ni hopeless kisa ni huo uchawa kwa serikali na kuongea vitu kama laymen. Kitila ni worst professor ever witnessed in this country. Anadhalilisha rank za professors wengine wachahche wenye kujitambua .
Kitila ni waziri muda huu na mbunge, wewe unapiga makelele ya kukosoa na hakuna anayeujua ufanisi wako ukipewa nafasi ni wa kiwango gani!.

Kukosoa na kutukana ni kazi nyepesi sana, kufanya kile anachokifanya huyo unayemkosoa ni shughuli nzito.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!

1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?

2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi zinaenda kwa DP world

 

Attachments

  • 8366a077-bd60-4853-a6e6-80753b06cf89.mov
    8.3 MB
Back
Top Bottom